Prof. Shivji ametoa maoni yake kuhusu kadhia ya Law School. Anasema Shivji:
“Pasipo mijadala au ubunifu huwezi kuendeleza fikra, na hii inakwenda moja kwa moja kuathiri usomaji na ufundishaji.”...
Pongezi nyingi ziende kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar Mh. Hussein Mwinyi kwa kuratibu "kibingwa" moja ya jukumu muhimu katika...
Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba.
Kumbuka kuwa sio wewe peke yako...
Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart.
Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakika Tanzania ni kama imebahatika sana kuwa na Rais Samia katika kiti cha Urais, maana Rais Samia ni zaidi ya kiongozi, ni zaidi ya Rais, ni zaidi ya mkuu wa nchi na...
Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu.
Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza...
Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma.
Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa.
Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa...
UJUMBE WA WOTE WALIOUMIZWA NA TANZANIA KUFIKIA PATO LA TRILLION 200, NA WANAOTESEKA BAADA YA WIZARA YA FEDHA KUKOSA KASHFA KATIKA REPORT YA CAG.
● Ujumbe huu ufike kwa ndugu yetu mroho wa...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kukakasha taarifa iliyoandikwa katika mtandao huu leo ikiwa na kichwa cha Habari kisemacho "AFISA NIDA ASHTAKIWA KWA KUPOKEA HONGO KUTOA...
Majizi yote sasa hivi mmegeuza jina "Magufuli" kuwa kichaka cha kujifichia pale mnapobanwa na ripoti ya CAG 2021-2022. Mmekosa pa kufichia sura zenu za kilafi,sasa mnatapatapa ovyo kujinusuru bila...
Nikimbie moja kwa moja katika hoja husika, nimeona na kusikia Dege la hapa kazi tu limeokoa watu uko Sudani. Je limebagua watu waliokuwa wanatukana?
Cc Pascal Mayalla kwa msaada kama limebagua...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa...
MHE. DANIEL SILLO AKIWA NA MWANARIADHA GABRIEL GEAY BUNGENI
Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Daniel Baran Sillo...
Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu...
MBUNGE SUBIRA MGALU AKABIDHI VYEREHANI 130 VYA MILIONI 32.5
Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea kutekeleza azma yake ya kuwaimarisha kiuchumi Jumuiya ya Umoja wa...
Kwema Wakuu!
Membe Vs Musiba; Huwezi Kuomba Msamaha Baada ya Hukumu, Msamaha unaomba Wakati wa kesi au Kabla ya Kesi.
Kuna Watu bhana wanafurahisha Sana. Hivi uliona wapi mtu akapewa Msamaha...
Cwt ni chama Cha walimu nchini Tanzania.
Hakifanyi jambo lolote zaidi ya kuvuna asilimia mbili ya mishahara ya walimu.
Mei mosi ndio siku pekee ya tamko Kwa waajiri wote kusitisha makato ya 2%...
Ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa (BAVICHA) imetuma wawakilishi kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Vijana nchini Denmark , tayari ujumbe huo umewasili jijini Copenhagen na kupokelewa na wenyeji...
Habarini wakuu
Hapa juzi kati katika harakati zangu za hapa na pale, nilipita pale chang'ombe, Dar Chuo cha Ualimu (DUCE), na nikakuta palikuwa na shughuli ya uchaguzi wa ndani ya chama(CCM), Na...
Mkuu wa mkoa wa DSM Amos Makalla amesema serikali itajenga Stendi nyingine ya Mabasi ya mikoani kama Magufuli Bus Terminal Mbagala
Lengo ni kuwapunguzia usumbufu wananchi na mabasi yote ya...