Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO), je...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hofu tuliyo nayo dhidi ya Mkataba wa Tanzania-Dubai inao msingi thabiti katika ubaya unaoambatana na historia ya "makoloni ya walowezi wa kigeni" katika Afrika. Kwa mujibu wa "TPA Handbook...
35 Reactions
99 Replies
7K Views
Wananchi wa kijiji cha Ngelenge wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelazimika kuifunga ofisi ya mwenyekiti wa kijiji chao Bwana Thomas Mkinga wakimtuhumu kuwa anahujumu uchumi wa kijiji huku...
1 Reactions
7 Replies
588 Views
Uganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta. Hivi navyokwambia mradi wa mafuta wa Uganda unasimamiwa na...
3 Reactions
5 Replies
659 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza tarehe 04 Julai, 2023 alishiriki Baraza la UWT Wilaya ya Songwe ambapo alichangia Mifuko 50 ya Cement yenye thamani ya Shilingi...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini. Prof...
1 Reactions
0 Replies
930 Views
Habari, Huu ndio ukweli. Ni wakati sasa Watanzania na viongozi tuache kutwakutwa kujivunia rasilimali za asili badala yake tuwaze maendeleo. Yaani rasilimali zifikiriwe au kutajwa pale tu...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu Jijini Lilongwe...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
📍 Igunga, Tabora ❇️ MBUNGE NGASSA KUANZA ZIARA JIMBONI ❇️ KUHUTUBIA MIKUTANO SITINI (60) ❇️ KUFANYA ZIARA KATA KUMI (10), VIJIJI THELATHINI (30) Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
"Naomba Mbunge utusaidie kujenga nyumba za Walimu, Walimu wako tunakaa kwenye nyumba ambazo zimejengwa mwaka 1979, nyumba zetu hazina siri, tunashindwa kuwa na faragha na familia zetu, naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Watajwa hapo juu Ni miongoni mwa watu ambao ningependaa kuona wakijitupa Majimboni kupitia Chama chetu pendwa Cha CCM kuomba ridhaa ya wananchi kuwawakilisha Bungeni na...
0 Reactions
59 Replies
3K Views
Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba...
107 Reactions
194 Replies
17K Views
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni. Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu amewakilisha kwa Wabunge Mpango wa Maendeleo ambapo ukomo wa Bajeti kwa Mwaka 2023/24 utakuwa Tsh 44.3 Trillion ---- SERIKALI imewasilisha kwa Wabunge Mapendekezo ya...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Wasau hamjamboni nyote? Je, maeneo ya Mbagala Jijini Dar es Salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano? Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko. Karibuni
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi na Charles Mullinda Tanzania Daima~Sauti ya Watu MTOTO mkubwa wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwan Kikwete, amesema hahusiki kwa namna moja au nyingine na tuhuma za...
0 Reactions
302 Replies
35K Views
Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni. Chama hakijatueleza nani alifanya...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya , zinaeleza kwamba Mleta maombi Boniface Mwambukusi (Mayweather), ameiomba Mahakama kupitia Mawakili wake wakiongozwa na Wakili Msomi Alphonce Lusako...
18 Reactions
52 Replies
7K Views
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri. Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi...
109 Reactions
297 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…