Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo, kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na...
Ulianza na Singida United ikabuma ukaibukia DTB ambayo imebadili jina na kuwa Singida nini sijui.
Unafanya kitu kizuri ila kitakucost.
Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni...
Mgombea wa nafasi ya MNEC toka mkoa wa Arusha, mfanyabiashara wa madini Ndugu, Gabriel Sendeu baada ya kuona nguvu yake ya fedha haiwezi kumsaidia kushinda nafasi hiyo amechagua kutumia ukabila...
Nchi hizi kwa mujibu wa mkataba wa Muungano zinapaswa kuwa na haki sawa kwenye mgawanyo wa mambo yaliyoainishwa kwenye kinachoitwa "masuala yahusuyo Muungano' zikiwemo baadhi ya Wizara kuongozwa...
Hakika ndani ya CCM kuna viongozi ukiwasikiliza unaweza uiamini kama ni matamshi ya kiongozi wa ngazi za juu.
Msikilizeni Heche WA CHADEMA na Dr Mollel wa CCM ( Naibu Waziri )
Hapo ndiyo mtajua...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na uchaguzi wake wa ndani ili kuweza kupata viongozi watakao isimamia Serikali kwa umakini. Hakuna shaka kwa namna siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa na...
Ameyasema juzi katia ufunguzi wa majengo ya Mahakama huko Same/Mwanga.
Kweli Mh. Jaji Mkuu, hujui dosari za mahakama zako? Hilo ulilolisema linatoka rohoni au unajikosha? watu wanaozea jela kwa...
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Rais Samia ameridhia na kuagiza Wanafunzi wote wenye sifa za kupata mkopo wa Elimu ya Juu na ambao walipitishwa na Bodi ya mikopo wapokelewe Vyuoni.
Ikumbukwe...
Ni kweli kwamba wengi wetu humu jamvini tumetoa tuhuma zetu dhidi ya GSM, tukiwatuhumu kuhusika kwa njia moja au nyingine na uuzaji wa dawa za kulevya.
Kwa jinsi nilivyomuona Kamishna katika...
Rais wetu mpendwa, juzi tuliona umetoa mitambo ya kuchimba maji na mitambo mizito kabisa, Sasa muda huu maeneo mengi Dar hayana maji na mto Ruvu siyo tegemeo tena.
Nakuomba mama Mpenzi tuonee...
Ukiangalia kwa jinsi mambo yanavyoenda utagundua walimu wamesusa. Wanasema kwa sasa wao wanasubiri tu mshahara uingie maisha yao yaendelee.
Wanasema Serikali haiwajali, Wazazi hawawajali wamekuwa...
Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto...
Na Mwandishi wetu Tunduru
KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametaka kuitishwa kwa mjadala wa kitaifa na wananchi washirikishwe ipasavyo kwenye mjadala huo kwa ajili ya kujadili...
Umuofia kwenu
Napenda kufahamishwa ni sheria ipi inayompa ruhusa Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA Kugombea nafasi ya uongozi CCM.
Cornel Boniphace Magembe ni Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA kwa Sasa ila...
Vvya tisa vya siasa Zanzibar, vimesema kauli ya Chama cha ACT-Wazalendo ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina, haina nia njema kwa Zanzibar...
Kama kuna watu wavumilivu ni waumini wa Gwajima, waliabudu kwenye full suit ya mabati pale Ubungo, wakapigwa jua Tanganyika Pakers Kawe, wakarudi kwenye magofu Ubungo.
Baada ya ubunge kanisa lake...
Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na...
Akizungumzia Kadhia ya Wanyama aina ya Tembo kuvamia makazi ya wananchi katika maeneo mbali mbali ya Tunduru mkoani Ruvuma Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto aliitaka serikali,kuchukua...
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi inaendelea kwa kasi katika kila kona ya nchi,Kaskazini baada ya kusahauliwa kwa muda leo mama anawafungua kwa kasi.
Ona hii barabara ya Same –...