Umuofia kwenu
Napenda kufahamishwa ni sheria ipi inayompa ruhusa Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA Kugombea nafasi ya uongozi CCM.
Cornel Boniphace Magembe ni Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA kwa Sasa ila pia amechukua fomu ya Kugombea nafasi ya Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kupitia wilaya ya Magu, na Nafasi ya Ujumbe Halmashauri kuu CCM Mkoa wa Mwanza..
Swali langu,
Je, Kiongozi wa Taasisi yoyote ya Umma akiwa madarakani anaruhusiwa Kugombea nafasi ya uongozi katika chama Cha siasa?
Naomba wajuvi wa sheria na katiba ya TUCTA mnijuze ili kukuza uelewa wa hili jambo
Je TUCTA itaweza kutetea Maslahi ya wafanyakazi kweli kama Watendaji wake ni Wanachama wa Chama Cha Siasa.?