Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia ameagiza Wanafunzi wote wenye sifa za kupata mkopo wa Elimu ya Juu wapokelewe Vyuoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Rais Samia ameridhia na kuagiza Wanafunzi wote wenye sifa za kupata mkopo wa Elimu ya Juu na ambao walipitishwa na Bodi ya mikopo wapokelewe Vyuoni.

Ikumbukwe mbunge wa ubungo Prof Kitila alisema bungeni kuwa Wanafunzi walipitishwa na Bodi ya mikopo ni zaidi ya Elfu 80 lakini Bajeti walivyopitisha ni ya Wanafunzi Elfu 42 tu.

Chanzo: ITV habari
 
Source ITV habari
Hapo rais kaamua kitu vizuri. Bodi huenda wanabana kwa lengo la ufisadi.
 
Wapokelewe au wapewe mikopo ??? Hyo kauli ni tata..
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Rais Samia ameridhia na kuagiza Wanafunzi wote wenye sifa za kupata mkopo wa Elimu ya Juu na ambao walipitishwa na Bodi ya mikopo wapokelewe Vyuoni.

Ikumbukwe mbunge wa ubungo Prof Kitila alisema bungeni kuwa Wanafunzi walipitishwa na Bodi ya mikopo ni zaidi ya Elfu 80 lakini Bajeti walivyopitisha ni ya Wanafunzi Elfu 42 tu.

Source ITV habari

Huu nao ni uongo na siasa za kishamba wenye sifa ni wanafunzi 88 elfu na walipata kulingana na budget ya iliyotengwa na serikali ni 44 elfu...

Hawa watu wana mambo ya ajabu sana badala ya kutatua tatizo wanafanya siasa!

Sasa nani abebe mzigo wa watu ambao hawana hela? Watalala wapi na watakula wapi? Hizi ni siasa za aina gani hizi? Nani atawalipia ada?

Rais alipaswa kusema kuwa wanafunzi wote wenye sifa wapewe mikopo na si kupokelewa vyuoni kitu ambacho hakuna mwenye akili timamu atafanya!

Kwanini waliipunguzia bodi budget?
Kwanini watu wanadanganywa? Hakuna chuo cha kumpokea mtu asiye na ada hapa duniani labda sa 100 aseme anavipa ruzuku vyuo hasa vya private ambavyo vitapokea wanafunzi waliokosa mikopo ...

Kwa hiyo watakuwa wanakula nini na hawana hela?

Siasa za kijinga hizi!
 
Hapo rais kaamua kitu vizuri. Bodi huenda wanabana kwa lengo la ufisadi.
Du, yaan serekali itowe bilioni mia nne kwa ajili ya mkopo alafu bodi wao waidhinishe bilioni mia mbili kwenda kwa baadhi ya wanafunzi alafu nyingine wazipige? Jmn tuwe tunashirikisha akili zetu. Kwa kifupi pesa iliyopelekwa bodi ya mkopo kutoka serekalini ni ndogo. Huwenda ikawa kwa makusudi au sivyo. Tengeneza tatizo alafu litatue.
 
Nyerere alikua na akilisana idadi yawatu iendane na raslimali fedha huku chini mnasema bure juu kuwahudumia MIKWALA inaanza...ccm kwann lakini?
 
Du, yaan serekali itowe bilioni mia nne kwa ajili ya mkopo alafu bodi wao waidhinishe bilioni mia mbili kwenda kwa baadhi ya wanafunzi alafu nyingine wazipige? Jmn tuwe tunashirikisha akili zetu. Kwa kifupi pesa iliyopelekwa bodi ya mkopo kutoka serekalini ni ndogo. Huwenda ikawa kwa makusudi au sivyo. Tengeneza tatizo alafu litatue.
Tuliambiwa tozo zinaenda kumaliza hilo tatizo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Huu nao ni uongo na siasa za kishamba wenye sifa ni wanafunzi 88 elfu na walipata kulingana na budget ya iliyotengwa na serikali ni 44 elfu...

Hawa watu wana mambo ya ajabu sana badala ya kutatua tatizo wanafanya siasa!

Sasa nani abebe mzigo wa watu ambao hawana hela? Watalala wapi na watakula wapi? Hizi ni siasa za aina gani hizi? Nani atawalipia ada?

Rais alipaswa kusema kuwa wanafunzi wote wenye sifa wapewe mikopo na si kupokelewa vyuoni kitu ambacho hakuna mwenye akili timamu atafanya!

Kwanini waliipunguzia bodi budget?
Kwanini watu wanadanganywa? Hakuna chuo cha kumpokea mtu asiye na ada hapa duniani labda sa 100 aseme anavipa ruzuku vyuo hasa vya private ambavyo vitapokea wanafunzi waliokosa mikopo ...

Kwa hiyo watakuwa wanakula nini na hawana hela?

Siasa za kijinga hizi!
Sasa mwanafunzi mwenye sifaanajuaje kuwa amepitishwa na kwavigezo alivyonavyo?naatakula pia kulalawapi?
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Rais Samia ameridhia na kuagiza Wanafunzi wote wenye sifa za kupata mkopo wa Elimu ya Juu na ambao walipitishwa na Bodi ya mikopo wapokelewe Vyuoni.

Ikumbukwe mbunge wa ubungo Prof Kitila alisema bungeni kuwa Wanafunzi walipitishwa na Bodi ya mikopo ni zaidi ya Elfu 80 lakini Bajeti walivyopitisha ni ya Wanafunzi Elfu 42 tu.

Source ITV habari
Si mbaya kauli inatia moyo kwa walengwa
 
Back
Top Bottom