Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

Mdukuzii

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
2,555
6,381
Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja,
Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake
EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe wake EL anaitwa Sumari akaambiwa join us au mkweo aoezee jela.
EL akichekecha kichwa akasalimu amri nani hapendi kiishi uraiani.

Orodha ni ndefu kuna RA mdogo wake alikamatwa na nyara za serikali na silaha kinyume cha sheria,RA akaitwa ikulu akaambiwa share zake zote za Radio M na Tv ya canal 10 azikabidhi kwenye chama chetu au mdogo wake afiie jela palepale RA akagawa share zake zote kwa chama kubwa.

Aliponogewa ndio akaanzisha plea bargain akachota mabilioni huko kama sio matrilioni toka kwa aliowatarget.

Unamkumbuka yule Rais wa Tucta aliyempelekesha Jk mpaka akaja na msemo wa mbayuwayu akili za kuambiwa changanya na zako?

Sasa kidogo Jpm yamkute kuna rais wa Tucta alitaka kumvimbia akaitwa akaambiwa we bwana wee acha ujanja wako una vyeti feki so tulia tule keki ya taifa ,jamaa akawa mpole,kwa kipindi chote cha utawala wake huyo bwana hakuwahi kuwatetea wafanyakazi.

Mnaodhani hii ni stori ya kufikirika ni kwamba huyo bwana ni msomi kweli,alikuwa ni daktari pale hospitali ya iringa,alizaliwa kijiji cha mtandika B,kata ya Ruaha Mbuyuni,wilaya ya kilolo,katika harakati za kutafuta elimu alitumia jina la mtu aliyefaulu ila akaitendea haki hiyo fursa akasoma mpaka kuwa doctor.

Watu wake wa karibu walimjua kwa jina la S.Kitamxxx..i ila akaja kutumia jina la Y Msigxxxxx

Case yake haina tofauti na ya Bashite.

RIP JPM
 
Tuendelee kupambana na marehemu lakini kumbuka nchi ina shida ya
Maji
Umeme
Inflation
Rushwa
Huduma za afya ni tete
Usalama wa ndani ni kikuhemuhe
Wasiojulikana wanakata shingo bado
Tozo za kijambazi
Uongozi unaolamba asali
Ukabila na ukanda
Elimu mbofu mbofu
Na kazalika

Msisahau kumleta marehemu aje kujibu tuhuma zake
 
Atwambie pesa za plea bargain ziko wapi tuchimbe visima
 
Hekaya zipi sijawahi kuwa miongoni mwa buku saba ,bora nife njaa ila sio kusifia ujinga,hizo ni classified information za kipindi kile,
Unasikitisha mno .

Namfahamu mpaka mama na baba yako kwanini unadanganya watu hapa??
Hekaya zipi sijawahi kuwa miongoni mwa buku saba ,bora nife njaa ila sio kusifia ujinga,hizo ni classified information za kipindi kile,
 
Mnaodhani hii ni stori ya kufikirika ni kwamba huyo bwana ni msomi kweli,alikuwa ni daktari pale hospitali ya iringa,alizaliwa kijiji cha mtandika B,kata ya Ruaha Mbuyuni,wilaya ya kilolo,katika harakati za kutafuta elimu alitumia jina la mtu aliyefaulu ila akaitendea haki hiyo fursa akasoma mpaka kuwa doctor.
Pamoja na yote aliwaogopa
  1. Yule wa tozo
  2. Kolomije
 
Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja,
Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake
EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe wake EL anaitwa Sumari akaambiwa join us au mkweo aoezee jela.
EL akichekecha kichwa akasalimu amri nani hapendi kiishi uraiani.

Orodha ni ndefu kuna RA mdogo wake alikamatwa na nyara za serikali na silaha kinyume cha sheria,RA akaitwa ikulu akaambiwa share zake zote za Radio M na Tv ya canal 10 azikabidhi kwenye chama chetu au mdogo wake afiie jela palepale RA akagawa share zake zote kwa chama kubwa.

Aliponogewa ndio akaanzisha plea bargain akachota mabilioni huko kama sio matrilioni toka kwa aliowatarget.

Unamkumbuka yule Rais wa Tucta aliyempelekesha Jk mpaka akaja na msemo wa mbayuwayu akili za kuambiwa changanya na zako?

Sasa kidogo Jpm yamkute kuna rais wa Tucta alitaka kumvimbia akaitwa akaambiwa we bwana wee acha ujanja wako una vyeti feki so tulia tule keki ya taifa ,jamaa akawa mpole,kwa kipindi chote cha utawala wake huyo bwana hakuwahi kuwatetea wafanyakazi.

Mnaodhani hii ni stori ya kufikirika ni kwamba huyo bwana ni msomi kweli,alikuwa ni daktari pale hospitali ya iringa,alizaliwa kijiji cha mtandika B,kata ya Ruaha Mbuyuni,wilaya ya kilolo,katika harakati za kutafuta elimu alitumia jina la mtu aliyefaulu ila akaitendea haki hiyo fursa akasoma mpaka kuwa doctor.

Watu wake wa karibu walimjua kwa jina la S.Kitamxxx..i ila akaja kutumia jina la Y Msigxxxxx

Case yake haina tofauti na ya Bashite.

RIP JPM

..kwa Tundu Lissu ndio waligonga kisiki.

..walitafuta kashfa dhidi yake wakakosa.

..wakamtishia makesi hakutishika.

..wakaamu kumfurumushia marisasi ili afe.
 
Back
Top Bottom