Uhusikaji wa Umoja wa Afrika (AU) kwenye migogoro ya kisiasa ndani Afrika

asanteni babu

Member
Mar 12, 2023
41
158
Habari....

Natamani kujua kuhusu Umoja wa Afrika (AU) hivi utendaji kazi wake upoje maana migogoro mingi ya kisiasa na matatizo mengine ni mengi sana kwenye bara letu la Afrika ila uhusikaji wake unakuwa hafifu wakati mwingine hauonekani

Huu umoja upo? kama upo utendaji kazi wake upoje au unamipaka kuna baadhi ya sehemu hauhusiki?
Au ulishakufa?
 
Back
Top Bottom