Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,398
- 1,265
Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata ushindi wa kishindo ktk mikoa mitano au zaidi.
Sasa swali la kujiuliza ni JE mbali na Kigoma, Pemba na Unguja Zitto anaukubalika ktk mikoa mingine?
Swali la pili ni agenda ya Zitto Kabwe kuutaka uongozi mkubwa kbs wa nchi hii ni upi - kupanda kuongoza au utashi wa kuwa na alama yenye manufaa kwa watanzania?
Swali la tatu ni JE apatapo urais hatakuwa na hulka ya kutaka chokochoko dhidi ya watangulizi wake i.e Samia Suluhu, Jakaya Kikwete nk?
Anyway mimi simkatishi tamaa lkn afahamu kuwa ana kazi kubwa mbele yake kwa kuwa CCM ni vyepesi kupoteza kata au jimbo la uchaguzi lkn si rahisi kupoteza Ikulu.
Msakila Kabende
Bukoba.