Darfur inawaka moto, yuko wapi waziri Bashungwa

Darfur inawaka moto, yuko wapi waziri Bashungwa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,964
Reaction score
28,208
Kesho Mbunge mmoja asimame amtake waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Innocenti Bashungwa awaeleze watanzania usalama wa ndugu zao waliopo Darfur wakilinda amani maana tangu mchana vyombo vya habari vya kimataifa vinatoa habari za mauaji makubwa eneo la Darfur kuliko hata yale yaliyotokea Khartoum.

Inadaiwa kuwa baada ya kusimamisha mapigano mjini Khartoum nguvu kubwa imepelekwa Darfur eneo linalotajwa kuwa ngome ya jeshi la RSF maarufu kama Janjaweed ambalo miaka ya nyuma liliua walinda amani kutoka Tanzania na bado lina nguvu.

Kesho waziri aje aseme tumsikie

USSR
 
Jana tumeelezwa nadhani kupitia BBC kuwa Tanzania ndiyo inaratibu uondoaji raia wa kigeni hasa wanafunzi kutoka Sudan. Kwa maneno mengine, nikama Tanzania tunadhibiti baadhi ya Mambo huko Sudan.

Hata hivyo, ni muhimu kujua Hali ya usalama wa Ndugu zetu huko.
 
Bibisii??
 
Aseme nini? Sudan has been a hotspot tangu miaka ya 90, This is nothing new.. It will cool off

Cool off after slaughter of thousands! Including Tanzanian soldiers! Defense minister must speak please !!! Immediately telling Tanzanians all defense mitigation measures taken to safe guard our soldiers while keeping peace in the region according to UN mission mandate ! Come on !!!
 
Muhusika ni waziri wa mambo ya nje.

Tujifunze Diplomasia
Kila mtu akisoma diplomasia nani atakuwa hakimu, daktari,mwalimu, injinia, dereva,polisi , unawaza kwa kutumia kinyeo,yaani nikasoma kisa ni nani azungumzie wanajeshi walinda amani halafu iweje ,ucha ushoga wewe

USSR
 
Kulinda amani huu si ndio wakati sahihi, au wanalinda amani kukiwa na amani? Maana nijuavyo wakiondoka sasa hata hiyo amani haitapatikana. Huwa najiuliza kuna faida gani tunapata kama nchi kwa kupeleka askari wetu kulinda amani?

NB: kwanini wasipelekwe hawa askari wetu ambao huwa wanatamba hapa nchini kupiga raia wasio na silaha hadi wachakae, hao ndio wakapambane na wenzao wenye silaha hadi wachakae?
 
Hapana, muundo ni tofauti na sababu za kuanzishwa ni tofauti kabisa, JKT ipo ndani ya JWTZ lakini hao RSF hawapo ndani ya Jeshi la Sudan

USSR

Wananchi wanapotaka kuandamana hapa nchini, kuna viongozi wa CCM huwa wanaongea kwa nyodo kuwa viongozi wa upinzani wakae mbele na watoto wao kwenye hayo maandamano ili wakione cha moto.

Kwenye hili la Sudan, viongozi wakakae mbele na familia zao badala ya kutanguliza askari wetu, ili wao waongoze vita, na sio kuongelea ndani ya bunge maana huko hakuna vita. Viongozi wakakae mstari wa mbele huko vitani waongoze mapambano.
 
Kila mtu akisoma diplomasia nani atakuwa hakimu, daktari,mwalimu, injinia, dereva,polisi , unawaza kwa kutumia kinyeo,yaani nikasoma kisa ni nani azungumzie wanajeshi walinda amani halafu iweje ,ucha ushoga wewe

USSR
Huwezi kujibu hoja bila matusi?
 
IMG_2596.jpg

IMG_2595.jpg

IMG_2594.jpg

Hayo mabasi tangu jana yaliwabeba kwenda Misri
Chambua mambo kabla huja leta mada!
Hallo!
 
Cool off after slaughter of thousands! Including Tanzanian soldiers! Defense minister must speak please !!! Immediately telling Tanzanians all defense mitigation measures taken to safe guard our soldiers while keeping peace in the region according to UN mission mandate ! Come on !!!
We mbona mpuuzi puuzi na kiingereza chako!!..mambo ya jeshi uambiwe ili iweje!?..wakiona umuhimu wa kusema watasema
 
Back
Top Bottom