Wassira: Tukiruhusu Serikali za Majimbo kama Sera ya CHADEMA tutajuta, Kenya Nusu ya Mapato yake hulipa mishahara ya Wabunge na Magavana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,005
142,040
Mwanasiasa mkongwe wa Taifa Mzee Wassira amesema Tukiruhusu Utawala wa Majimbo kama ilivyo Sera ya Chadema tutajuta

Wassira amesema hapo Kenya Nusu ya Mapato yao wanalipa mishahara ya Wabunge na Magavana na sasa wameishiwa fedha wameshindwa Kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma

Mzee Wassira amewataka Watanzania wawe makini sana

Source: Jambo TV
 
Kabisa, Mimi namshangaa Lissu na Singida yake, robo tatu ya mkoa ni mapori, na kwa maneno mengine, singida ni kama shamba kubwa la kulimia alizeti na kufugia nyuki. Naye anataka majimbo, Wana Kodi ya kujihudumia bila msaada wa mikoa mikubwa?
 
Federal government kama ya SA, Germany Nigeria Canada nk ndo njia peke ya kuleta huduma karibu na wananchi pamoja na maendeleo japo inapunguza nguvu za Raisi na wizi wa mali za ummah jambo CCM haitaki kabisa.
 
Mpaka hapo hajaonyesha picha halisi ya ubaya wa majimbo, zaidi ya kuitaja kenya na wabunge na magavana. Angeichambua, kwa mfano, gharama za kuendeshea mfumo wa serikali za majimbo unaopendekezwa na CDM dhidi ya gharama zinazotumika sasa, nadhani angeeleweka zaidi. Anyway, kila mmoja ana uhuru na haki ya kutoa maoni
 
Mwanasiasa mkongwe wa Taifa Mzee Wassira amesema Tukiruhusu Utawala wa Majimbo kama ilivyo Sera ya Chadema tutajuta

Wassira amesema hapo Kenya Nusu ya Mapato yao wanalipa mishahara ya Wabunge na Magavana na sasa wameishiwa fedha wameshindwa Kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma

Mzee Wassira amewataka Watanzania wawe makini sana

Source: Jambo TV
Yuko sahihi hadi kulikuwa na harakati za kupunguza mzigo kwa serikali,katiba baya sana

USSR
 
Kabisa, Mimi namshangaa Lissu na Singida yake, robo tatu ya mkoa ni mapori, na kwa maneno mengine, singida ni kama shamba kubwa la kulimia alizeti na kufugia nyuki. Naye anataka majimbo, Wana Kodi ya kujihudumia bila msaada wa mikoa mikubwa?
Usihangaike na walevi hao

USSR
 
Mwanasiasa mkongwe wa Taifa Mzee Wassira amesema Tukiruhusu Utawala wa Majimbo kama ilivyo Sera ya Chadema tutajuta

Wassira amesema hapo Kenya Nusu ya Mapato yao wanalipa mishahara ya Wabunge na Magavana na sasa wameishiwa fedha wameshindwa Kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma

Mzee Wassira amewataka Watanzania wawe makini sana

Source: Jambo TV
Mzee muhongo sana huyu, alafu Hawa ndio wachawi wa taifa hili wamekuwa viongozi miaka yote taifa linazidi kuwa la kifisadi na maskini, pumbav.
 
Mzee anataka hazina iwe moja ili wazitafune vizuri, mfumo huu ni wa kidikteta yaani Rais ndiye pay master. Mfumo huu ukiwa kibaka huna shughuli kubwa sababu unatega tu kwenye mrija ambao ni mmoja sheikh.
 
Mwanasiasa mkongwe wa Taifa Mzee Wassira amesema Tukiruhusu Utawala wa Majimbo kama ilivyo Sera ya Chadema tutajuta

Wassira amesema hapo Kenya Nusu ya Mapato yao wanalipa mishahara ya Wabunge na Magavana na sasa wameishiwa fedha wameshindwa Kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma

Mzee Wassira amewataka Watanzania wawe makini sana

Source: Jambo TV
Mzee anatetea mrija wake na makada wa The Green Mamba kukatwa kwenye Kibubu cha Taifa.Majimbo kila Jimbo linakuwa linatumia mapato yake na asilimia kiasi inaenda serikali ya shirikisho.
 
Mwanasiasa mkongwe wa Taifa Mzee Wassira amesema Tukiruhusu Utawala wa Majimbo kama ilivyo Sera ya Chadema tutajuta

Wassira amesema hapo Kenya Nusu ya Mapato yao wanalipa mishahara ya Wabunge na Magavana na sasa wameishiwa fedha wameshindwa Kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma

Mzee Wassira amewataka Watanzania wawe makini sana

Source: Jambo TV
Aaah nikajua ni raia mpenda mabadiliko, kumbe ni mwanaccm!!
 
Back
Top Bottom