Johannesburg: Freeman Mbowe afungua Mkutano wa Vyama vya kidemokrasia Barani Afrika (DUA)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,742
218,333
FB_IMG_1682601914045.jpg
FB_IMG_1682601322963.jpg

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , Ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Vyama vya Kidemokrasia vya bara la Africa , amepewa heshima ya kufungua kongamano kubwa la vyama hivyo Jijini Johannesburg , Africa Kusini .

Kongamano hilo limeitishwa ili kujadili hali ya Ulinzi , Usalama , Demokrasia na Uchumi wa Bara la Africa .

Miongoni mwa Wajumbe wa Mkutano huo wamo Marais kadhaa akiwemo na Rais wa Ghana .
 
View attachment 2601517View attachment 2601518

Wale mapimbi walikuwa wanasema Mbowe ni div 0, huko alikuwa anaongea Kichaga? Ndezi wakubwa nyie!
 
View attachment 2601517View attachment 2601518

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , Ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Vyama vya Kidemokrasia vya bara la Africa , amepewa heshima ya kufungua kongamano kubwa la vyama hivyo Jijini Johannesburg , Africa Kusini .

Kongamano hilo limeitishwa ili kujadili hali ya Ulinzi , Usalama , Demokrasia na Uchumi wa Bara la Africa .

Miongoni mwa Wajumbe wa Mkutano huo wamo Marais kadhaa akiwemo na Rais wa Ghana .

The Democratic Union of Africa Forum is about to kick off in Kempton Park. It's made up of 17 centre right political parties in Africa. IFP and ACDP are members in South Africa. #sabcnews #DUAForum
Image

8:56 am · 27 Apr 2023 from Kempton Park, South Africa.
 
Back
Top Bottom