Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika...
2 Reactions
17 Replies
373 Views
Wadau wa sheria nimejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kuitafuta hii hukumu na kuileata mbele yenu ili tuijadili. Nimefanikiwa kuipata na naomba tuisome kwa kina halfu tuijadili. Ni ndefu ni kama...
3 Reactions
78 Replies
16K Views
Kuna jamaa mmoja mwenye jina la kike anapigia kampeni CCM! Naona kazidiwa hoja🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
2 Reactions
5 Replies
270 Views
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa Alisema akina Tesha cjui...
11 Reactions
31 Replies
955 Views
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako...
5 Reactions
25 Replies
557 Views
Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama...
2 Reactions
8 Replies
295 Views
Habari ya usiku huu. Kawaida kila siku lazima nitembelee kidogo twitter kuona mambo mbali mbali ya duniani huko. Lakini leo hata kwa VPN haiendi hata kidogo je ni kwangu tu au na wengine mnapata...
3 Reactions
5 Replies
267 Views
  • Featured
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine...
11 Reactions
94 Replies
2K Views
Wanaukumbi, HISTORIA ya TANU ingelipotea kabisa kama siyo juhudi za makusudi za Profesa John Illife wa Cambridge aliyekuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya...
6 Reactions
59 Replies
11K Views
Tuliambiwa na January Makamba kuwa mioundombinu ya kusambaza umeme kwa njia ya grid ya taifa imechakaa. January Makamba kama waziri wa nishati akawawap tenda ya kutengeneza miundo mbinu ya gridi...
2 Reactions
17 Replies
413 Views
Tunawaomba Chadema waweke wazi mapato na matumizi ya Hela za ToneTone na hatutegemei tusikie walikuwa wanatumia kwenye chakula cha jioni kwasababu John Mnyika alishasema Kuna beberu liliwapa kiasi...
3 Reactions
50 Replies
341 Views
Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
0 Reactions
26 Replies
430 Views
Wana-JamiiForums, Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi...
15 Reactions
36 Replies
607 Views
Chadema ni wakati sasa wakutoa tamko kali. Hii ya kusema kuzuia mikutano ya kisiasa ni danganya toto tu, wao CCM wanaendelea na mikutano kama kawaida kupitia waziri mkuu wao fake. Leo huyo waziri...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili: 1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) 2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya...
6 Reactions
42 Replies
638 Views
https://www.youtube.com/live/MtR5KcFyDDI?si=5zzGKudxe0sJLzjx KAFULILA ANATOA MHADHARA MZUMBE, AKISISITIZA KUREJEA KWA MIJADALA YA UMMA MOROGORO: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...
3 Reactions
13 Replies
207 Views
Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya...
20 Reactions
24 Replies
529 Views
Wanadai anakwenda kuzindua mkutano wa uwekezaji kati ya Tanzania na Serbia. Utakaouzindua tarehe 8 Julai, Belgrade, Serbia, saa sita mchana, akiwa na Rais wa Serbia, Alexander Cucic Sekta...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi...
14 Reactions
36 Replies
634 Views
Kweli bongo inakwenda mbio,hapa unaweza ukala kote kuwili
0 Reactions
2 Replies
94 Views
Back
Top Bottom