Je Tatizo ni Ruto au Samia ?

Je Tatizo ni Ruto au Samia ?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,031
Reaction score
11,654
Kabla ya Rais kwenda mahali kunakuwa na communication nyingi na Objectif ya Safari.

Ya Kwamba Samia was not informed in advance juu ya project ya Tanga - inaacha maswali mengi juu ya Idara ya Usalama wa Taifa na Taasisi ya Ikulu

Na Kama ni kweli ilikuwa hivyo: it was supposed to be indoors conversation: inaamaana pia hili idara na ikulu hamlijui ?

Another area , ni kauli ya kuwanyuka vijana wanaokosoa viongozi.

Kuwanyuka maana yake ni kupiga watu na kwa matukio ya Oct 29 maana yake ni kuua watu : Hii inaonesha Idara ya Usalama na State house imepoteza weledi. Hakuna ufafanuzi dhidi ya kauli ya Samia yenye viashiria ya VIOLENCE na hii ina justify Samia hana Ethics na fundamental Characters za Uongozi. Tumeliharibu Taita, ni kweli nchi haijaribiwa now ndio nimeelewa msemo wa CCM

Aidha, Ruto alilazimika ku i dispute kauli ya Samia yenye viashiria ya Violence it is against the ethics maturity kwa watu unaowaongoza.

Matukio yote haya ni Ishara kuwa Idara ya Usalama na Ikulu kuna shida kubwa huko . Kuna Tatizo kubwa . Nchi imepoteza MISINGI

I wish Mngemsikiliza Gwajimasation kipindi kile

Dr Megalodon , MD, MMed. PhD
Canada
 
Kwa kweli zile kauli za rais samia kwa mara nyingine zimetuacha na aibu kama taifa.
Tunakosa moral ya kujivunia ufahari wa taifa letu, amani msikamano na umoja ndio sifa zetu, ila tunakosa udhubutu wa kujivunia kwayo.

Kama rais wetu anasimama kwenye jukwaa anatoa taarifa na takwimu zisizo sahihi mfani wa ile kauli ya mafuta kuuzwa kwa bei kubwa huko nchi za wenzetu kwamba mafuta yanauzwa zaidi ya milioni kumi na!
 
Kabla ya Rais kwenda mahali kunakuwa na communication nyingi na Objectif ya Safari.

Ya Kwamba Samia was not informed in advance juu ya project ya Tanga - inaacha maswali mengi juu ya Idara ya Usalama wa Taifa na Taasisi ya Ikulu

Na Kama ni kweli ilikuwa hivyo: it was supposed to be indoors conversation: inaamaana pia hili idara na ikulu hamlijui ?

Another area , ni kauli ya kuwanyuka vijana wanaokosoa viongozi.

Kuwanyuka maana yake ni kupiga watu na kwa matukio ya Oct 29 maana yake ni kuua watu : Hii inaonesha Idara ya Usalama na State house imepoteza weledi. Hakuna ufafanuzi dhidi ya kauli ya Samia yenye viashiria ya VIOLENCE na hii ina justify Samia hana Ethics na fundamental Characters za Uongozi. Tumeliharibu Taita, ni kweli nchi haijaribiwa now ndio nimeelewa msemo wa CCM

Aidha, Ruto alilazimika ku i dispute kauli ya Samia yenye viashiria ya Violence it is against the ethics maturity kwa watu unaowaongoza.

Matukio yote haya ni Ishara kuwa Idara ya Usalama na Ikulu kuna shida kubwa huko . Kuna Tatizo kubwa . Nchi imepoteza MISINGI

I wish Mngemsikiliza Gwajimasation kipindi kile

Dr Megalodon , MD, MMed. PhD
Canada
Truth be told, zati fazafaka is a trainwreck. Hakupaswa kuwa Ikulu au hata kukaribia tu Ikulu. Waliotuchomekea hilo nungayembe walitukosea sana!
 
Zile kauli zimemuonesha Kiongozi wetu hana uelewa wowote ule na Unilateral Declaration of Human Rights ya mwaka 1948 na ambayo nchi yetu ni mwanachama, pamoja na Conventions+Conferences mbalimbali zilizofuata baada ya hapo zilizoongelea haki mbalimbali za binadamu.

Kauli kama ile ilitakiwa kuongelewa nyuma ya pazia huko na siyo hadharani. Hivyo binafsi sikushangaa siku iliyofuata Ruto alipoanza hotuba yake bungeni kwa kutoa ufafanuzi wa kina juu ya maadui zetu wakuu ndani ya Afrika ya Mashariki na Afrika kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom