Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William...
Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th.
Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc!
Hivi Ruto...
Kabla ya Rais kwenda mahali kunakuwa na communication nyingi na Objectif ya Safari.
Ya Kwamba Samia was not informed in advance juu ya project ya Tanga - inaacha maswali mengi juu ya Idara ya...
Wadau,
Nimeona tamko la leo, Novemba 16, 2025, kutoka Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara ya Afya likikana vikali uhalisia wa video inayosambaa inayoonyesha idadi kubwa ya miili ya watu. Wizara...
..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje.
Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea...
Nimeona huko mitandaoni analalamika sana.
Waandishi wamekuwa maripota tu. Wamekuwa waoga hawako critical.
Wanajipendekeza na wamekuwa machawa.
Pascal Mayalla ana hoja ya msingi.
Yeye ni shujaa...
Akitoa maoni yake na uchambuzi wa baadhi ya mambo yaliopo kwenye Vyombo vya Habari nchi na uhuru wake Pascal Mayalla amesema Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari hawatimizi wajibu wao...
Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa...
Utatamkaje hadharani habari ya kuchapa viboko hadharani wanaharakati?
Hiyo sio suluhu. Harakati dunia ya leo zinafanyika online. Kule Tunisia yalifanyika mapinduzi ya Facebook.
Hayati...
07 May 2026
Tafakuri ya Pascal Mayala Kuhusu Uhuru wa Vyombo Vya Habari, Ripoti ya Jaji Chande | Nijuze Podcast
https://m.youtube.com/watch?v=uyaX4VGvwDM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Jijini Dodoma Leo...
Tujiulize na kujihoji . Wizara ya habari utamaduni na michezo ina umuhimu gani kupewa bil 562? Kuwapa motisha wakata viuno na content creators?
Kama Jiji kama Dar ea salaam kuna shida ya maji...
Namkumbusha Samia Suluhu Hassan Samia uache kiburi na majivuno ya madaraka ubaki kuwa mnyenyekevu kwa wananchi. Samia sikiliza wananchi.
Samia , jambo la Oktoba 29 litabaki kuwa kovu na doa...
MPANGO WA KUIMARISHA VYANZO VYA MAJI NCHINI
Katika mwaka 2026/2027, Wizara ya Maji imepanga kujenga na kukarabati mabwawa 33, kubuni mabwawa mapya 34, pamoja na kufanya tathmini ya athari za...
Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi.
Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa...
Wakati ule Shehe Issa Ponda anapambana ili Waislam wawe na Taasisi huru ya kutetea maslahi yao, Kamishna Kova ndiye aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam.
Kwa Maelezo ya Shehe Ponda, Kova ndiye RPC...
KIHONGOSI:CCM TUNAAMINI KATIKA MARIDHIANO,TUNATOA RAI KWA MAKUNDI YOTE KUSHIRIKI
Katibu wa Idikadi,Uenezi,Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kenan Kihongosi amesema Chama hicho...
Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika...
Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.