Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama...
2 Reactions
8 Replies
295 Views
Habari ya usiku huu. Kawaida kila siku lazima nitembelee kidogo twitter kuona mambo mbali mbali ya duniani huko. Lakini leo hata kwa VPN haiendi hata kidogo je ni kwangu tu au na wengine mnapata...
3 Reactions
5 Replies
268 Views
  • Featured
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine...
11 Reactions
94 Replies
2K Views
Wanaukumbi, HISTORIA ya TANU ingelipotea kabisa kama siyo juhudi za makusudi za Profesa John Illife wa Cambridge aliyekuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya...
6 Reactions
59 Replies
11K Views
Tuliambiwa na January Makamba kuwa mioundombinu ya kusambaza umeme kwa njia ya grid ya taifa imechakaa. January Makamba kama waziri wa nishati akawawap tenda ya kutengeneza miundo mbinu ya gridi...
2 Reactions
17 Replies
413 Views
Tunawaomba Chadema waweke wazi mapato na matumizi ya Hela za ToneTone na hatutegemei tusikie walikuwa wanatumia kwenye chakula cha jioni kwasababu John Mnyika alishasema Kuna beberu liliwapa kiasi...
3 Reactions
50 Replies
341 Views
Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
0 Reactions
26 Replies
431 Views
Wana-JamiiForums, Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi...
15 Reactions
36 Replies
607 Views
Chadema ni wakati sasa wakutoa tamko kali. Hii ya kusema kuzuia mikutano ya kisiasa ni danganya toto tu, wao CCM wanaendelea na mikutano kama kawaida kupitia waziri mkuu wao fake. Leo huyo waziri...
0 Reactions
2 Replies
196 Views
Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili: 1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) 2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya...
6 Reactions
42 Replies
638 Views
https://www.youtube.com/live/MtR5KcFyDDI?si=5zzGKudxe0sJLzjx KAFULILA ANATOA MHADHARA MZUMBE, AKISISITIZA KUREJEA KWA MIJADALA YA UMMA MOROGORO: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...
3 Reactions
13 Replies
207 Views
Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya...
20 Reactions
24 Replies
529 Views
Wanadai anakwenda kuzindua mkutano wa uwekezaji kati ya Tanzania na Serbia. Utakaouzindua tarehe 8 Julai, Belgrade, Serbia, saa sita mchana, akiwa na Rais wa Serbia, Alexander Cucic Sekta...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi...
14 Reactions
36 Replies
634 Views
Kweli bongo inakwenda mbio,hapa unaweza ukala kote kuwili
0 Reactions
2 Replies
94 Views
Wanabodi, Nimeogopeshwa na lugha kali za kuyapinga maandamano ya huyu dada Mange Kimambi!, kumbe Mange anaogopwa hivi?!. Yaani anahamasisha maandamano ya mtandaoni tuu kuwa watu wataandamana...
61 Reactions
247 Replies
23K Views
Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha...
6 Reactions
15 Replies
171 Views
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima...
3 Reactions
117 Replies
1K Views
NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya...
0 Reactions
8 Replies
210 Views
Haya ni maoni ya huyu Msomi wa Sheria. Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote -- Waziri hana mamlaka ya kisheria, na wala ya kikatiba, ya kuzuia shughuli za...
10 Reactions
32 Replies
487 Views
Back
Top Bottom