Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara...
4 Reactions
43 Replies
997 Views
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema. Ni jambo...
3 Reactions
105 Replies
965 Views
Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p. Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo...
5 Reactions
23 Replies
277 Views
Tanzania hatuna Sheria ya “Self defense gadgets” hivyo silaha nyingi za kujihami zinaangukia kwenye Sheria ya umiliki wa silaha na risasi, hata pepper spray na mishale ile ya kisasa ya chuma...
2 Reactions
2 Replies
163 Views
Naanza kuwajua WABAYA wa Taifa letu taratibu Sasa Umeme ni kitu MUHIMU saa kwa ulinzi wa Taifa letu😅 Internet ni MUHIMU sana kwa wapinzani wakitaka kupindua inji yetu ya Tanzania. Naelewa Sasa...
0 Reactions
5 Replies
260 Views
Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana...
0 Reactions
6 Replies
149 Views
Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya, Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi...
0 Reactions
12 Replies
203 Views
1. P. Katambi (Anashikilia Record) 2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya) 3. Hamis Kigwangalla 4. Nape Nnauye 5. Makame Mbalawa 6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya) 7. Joseph Mungai...
42 Reactions
88 Replies
2K Views
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
0 Reactions
36 Replies
333 Views
Mwanaharakati Ahmed Kombo, ameahidi kutoa zawadi ya Mbuzi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ikiwa ni pongezi baada ya hatua ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa "Waziri...
1 Reactions
3 Replies
149 Views
Anaandika Astra ambaye mara nyingi anasema yuko Oysterbay polis https://x.com/tzastra2014/status/2070933680667971696?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg Hii ni Hatari
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme. It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi! Priority ni...
4 Reactions
22 Replies
604 Views
Ndugu zangu Watanzania Hakuna Taifa limewahi kuendelea ama kuwa Tajiri kwa kutegemea misaada na pesa za Wahisani. Hakuna Taifa linaweza kutoa pesa za walipa kodi wake ili likupe wewe uwe tajiri...
-1 Reactions
98 Replies
910 Views
Kwakweli huwa inaumiza sana pale mtu anapotumia umaarufu wake au chama chake au nafasi yake katika jamii kupora Hela na Mali za watanzania kwa makusudi yake binafsi. Mimi instinct desire Leo...
2 Reactions
37 Replies
422 Views
nimekuwa nikiona jinsi mataifa mbalimbali yanavyohifadhi historia zao kwa kuanzisha siku maalumu za kumbukumbu. Kwa mfano Timor-Leste huadhimisha kila mwaka tarehe 12 Novemba kuwakumbuka...
0 Reactions
9 Replies
112 Views
16 May 2026 Aliko Dangote ampongeza Samia Hassan kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkho Akiongea live mubashara ikulu ya Dar es Salaam mara baada ya kikao chake...
3 Reactions
35 Replies
549 Views
Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na...
2 Reactions
8 Replies
207 Views
Wakuu Akizungumza leo, Juni 28, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali amesema kwamba Nchi inakopa kwa sababu inakopesheka. Benki au taasisi yoyote ya fedha haiwezi kutoa mkopo bila kujiridhisha na uwezo...
1 Reactions
17 Replies
213 Views
https://www.youtube.com/watch?v=JInRM3GwaLk Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania awamu ya tano aliwahi kuwaonya viongozi na wanasiasa wenzake pamoja na watumishi wa umma kwa ujumla kuwa...
2 Reactions
2 Replies
171 Views
Serikali, kupitia Msemaji wake Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kiufundi kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme nchi nzima iliyotokea jana na jinsi ilivyoathiri huduma za treni ya kisasa (SGR)...
1 Reactions
15 Replies
574 Views
Back
Top Bottom