Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,782
- 6,104
“Tunajiita tuna uhuru wa habari, lakini tuna tatizo linaloitwa ‘media oga’, yaani media zetu ni waoga. Ni waoga kutangaza jambo wanapohisi kwamba serikali haitafurahia. Kwa maana hiyo, karibu media zote za mainstream, ukiondoa media za online, zimekuwa zikijisitiri. Labda mtandao pekee ambao umesimama bila kuyumba wala kuegemea upande wowote ninaweza kusema ni JamiiForums.
Lakini hizi mainstream media, baada ya kuona serikali imezima internet, vyombo vingi vya habari vimekuwa vikisubiri taarifa kutoka serikalini au kutoka Tume ya Uchaguzi. Cha kushangaza ni kwamba hata yale matukio wanayopita mtaani na kuyaona kwa macho yao, hakuna vyombo vya habari vya ndani vinavyoyatangaza. Badala yake, matukio hayo yamekuwa yakitangazwa na vyombo vya habari vya nchi jirani.” — Pascal Mayalla
Soma Pia:

- Wakuu wa vyombo vya habari wahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
- Pascal Mayalla: Kama tungekuwa na media makini, waandishi wangechunguza nani alitoa amri ya kupiga watu risasi za moto Oktoba 29