Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha...
Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba.
Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka.
Musiba...
---
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa...
Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4.
Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya...
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto...
MAMBO 10 YA KIPEKEE USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD KAMILIUS MEMBE.
Tunaendelea tulipoishia..
Hii ni "episode" ya tano katika mwendelezo wa "series" yetu juu ya historia na wasifu wa mwanasiasa na...
Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika...
Kuna nguvu ilitumika sana kwenye suala la mbolea mwaka jana, nyimbo zilitungwa na sifa ziliimbwa kwa waziri bashe kuhusu mbolea ya ruzuku.
Bashe akasema anataka kumuinua mkulima ndio maana...
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo. vya biashara ili kuendeleza na kuboresha ushirikiano kati ya mataifa hayo katika nyanja mbalimbali.
Makubaliano hayo yamefikiwa katika mkutano...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho
Amesema uamuzi huo umekuja...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Halima James Mdee na wenzake 18 wameshalipwa jumla ya tsh 8 Bilioni kwa miaka 3 tu hadi sasa
Lissu amesema " tulifikiri wale wabunge ni...
Membe anasema:
Kuhusu kugombea ndani ya CCM:
Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna...
Kwa Nyie Diaspora
Mgombea mwenye kutetea maslahi yenu kwenye suala la Uraia pacha ni Bernard Membe
Katika hii clip Rais Mtarajiwa Bernard Membe anazungumzia Umuhimu wa uraia pacha, anatambua...
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilikataliwa.
Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo...
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.
Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa...
Toka umepitishwa kuwa Spika umefanya mambo mengi unconstitutional likiwemo hili la kuendelea kuweka wabunge 19 wasio wanachama wa vyama vya siasa kibabe.
Hili ni bunge la nchi moja tu tena yenye...
#MauaYaSamia
Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki...
Kwenye bandiko hili pale litakapotumika neno Jaji au Majaji ndiyo itajumuisha pia na mahakimu toka mahakama za mwanzo mpaka Mkoa.
Sisi kama Taifa tumerithi mfumo wa kale na maarufu zaidi wa kuwa...
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa...