Rais Samia: Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe

Hamduni

Senior Member
Apr 25, 2020
155
108
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina"

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

=====

Rais Samia.PNG
 
Back
Top Bottom