MtuHabari
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 321
- 1,020
Toka umepitishwa kuwa Spika umefanya mambo mengi unconstitutional likiwemo hili la kuendelea kuweka wabunge 19 wasio wanachama wa vyama vya siasa kibabe.
Hili ni bunge la nchi moja tu tena yenye utulivu tofauti na mabunge magumu kama Afrika Kusini, Kenya nk na limekushinda jee huko IPU unakopigiwa chapuo uchaguliwe utaweza au unataka kupeleka u ccm na kuaibisha taifa?
Kwa mawazo yangu ni HAPANA.