Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza anesema Vyama vya Upinzani ni Mafala na Wapumbavu Mwenyekiti huyo anesema Wapinzani na hasa John Pambalu wa Chadema walitafsiri vibaya Kauli yake ya kuwataka DP...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Akihutubia Lundo la Wananchi viwanja vya Lulenge , Wilayani Ngara, huko Kagera , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , imebidi asimamishe mkutano wake kwa muda ili kupisha sauti za Wananchi...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Wasalaam ndugu wana Jukwaa, Kwanza nianze bandiko langu kwa kumpongeza Mhe. Waziri wa afya kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya hii Wizara kubwa na muhimu sana kwa Watanzania. Hongera...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni wakati ambao nchi za Afrika kuwa kulia zaidi au kushoto kushoto zaidi mwa mgogoro, hakuna kuwa katikati mwa mgogoro. Mgogoro huu utasababisha vita vikuu moto na baridi ambapo wale wa kulia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika.
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete amesisitiza kuwa mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai siyo wa kubinafsisha, bali ni ukodishaji wa shughuli za uendeshaji kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimejaribu kukumbuka matukio machache ya awamu zilizopita ya maamuzi ya Marais wa awamu zote kuhusu uwekezaji, na kuona kama kuna awamu yoyote wapinzani na wanaharakati walipinga tena kwa...
4 Reactions
10 Replies
554 Views
Ni lini mjinga aliwahi kuwa mwalimu? Ni lini mnafiki aliwahi kuwa muelimishaji? Mnafiki akiwa mwalimu, atawafundisha nini wananchi zaidi ya kuwafundisha wananchi kuwa wanafiki? Mkataba wa hovyo...
22 Reactions
56 Replies
3K Views
Kwa ufupi Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ndio Kauli mpya ya Makamu Mwenyekiti wa ccm ndugu Kinana Toa maoni yako
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mzee huyu ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera wakati anatoa salamu zake pale kirumba pia aliongelea suala la uwekezaji wa bandari. Lakini maelezo yake kwa ujumla wa kuitakia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello JF, Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari. Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme. Kwa maana...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba nitoa maneno machache hasa kwa wapotoshaji 1. Uwekezaji ni muhimu sana kwenye bandari yetu ya Dar na nyinginezo. 2. Mikataba yenye maslahi kwa taifa nayo ni muhimu sana kwa taifa letu...
2 Reactions
2 Replies
586 Views
Kuna mnyetishaji mmoja ni mtu wa karibu sana kwangu, kutoka wizara ya Mali asili na Utalii kanipenyezea kwamba DP World pia walifashili pakubwa ile Filam ya Royol Tour na ni kampuni pekee ilio toa...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Eliezer Feleshi, amesema tayari Serikali imewasilisha maombi yenye sababu 15 za kubatilishwa kwa hukumu hiyo pamoja na kusitishwa kwa utekelezaji wake. Pia...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania...
36 Reactions
245 Replies
23K Views
Ni vizuri wakajipanga kuendelea na mishe zingine kwasababu uchaguzi ujao hawakwepo bungeni. 1 . Mwijuma Khamis ( Mwana FA) 2. Babu Tale 3. Askofu Gwajima 4. Covid 19 wote...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu. Huko Vunjo Dr. Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara ambao umeandaliwa kwa gharama...
32 Reactions
80 Replies
8K Views
Hili ni ombi langu kwenu kwamba tuandaane kabisa kisaikolojia. Leo Shujaa Magufuli hayupo lakini akina Prof. Kabudi wapo na wamekaa kando kana kwamba hawakuhusika na haya mabilioni ya fedha...
2 Reactions
7 Replies
569 Views
Kwa sasa CCM Baada ya mtemi Chenge kuzeeka Mwanasheria pekee aliyebaki mwenye Uwezo na Uzoefu wa kuchambua vifungu Vya Mkataba ni Patrobas Katambi. Nashauri Katambi aingizwe kwenye Kikosi cha...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…