Ngara: Oparesheni 255 yatikisa, Wananchi watangaza kuukataa Mkataba wa Bandari na DP WORLD, waitaka Katiba Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,704
218,250
Akihutubia Lundo la Wananchi viwanja vya Lulenge , Wilayani Ngara, huko Kagera , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , imebidi asimamishe mkutano wake kwa muda ili kupisha sauti za Wananchi zilizopaa angani kuukataa Mkataba wa kibwege wa Bandari za Tanganyika na Waarab wa DP WORLD

Wananchi kwa kauli moja wamepaza sauti angani kama ishara ya kumfikishia Mungu taarifa ya kuupinga Mkataba huo wa kitumwa , huku wakitaka Katiba Mpya ije hata kesho mchana

Hali ilikuwa kama hivi mnavyoiona

Screenshot_2023-07-31-17-47-56-1.jpg
Screenshot_2023-07-31-17-47-52-1.jpg
Screenshot_2023-07-31-17-48-00-1.jpg
Screenshot_2023-07-31-17-48-04-1.jpg
Screenshot_2023-07-31-17-48-09-1.jpg
Screenshot_2023-07-31-17-48-23-1.jpg
Screenshot_2023-07-31-17-48-13-1.jpg
 
Akihutubia Lundo la Wananchi viwanja vya Lulenge , Wilayani Ngara, huko Kagera , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , imebidi asimamishe mkutano wake kwa muda ili kupisha sauti za Wananchi zilizopaa angani kuukataa Mkataba wa kibwege wa Bandari za Tanganyika na Waarab wa DP WORLD

Wananchi kwa kauli moja wamepaza sauti angani kama ishara ya kumfikishia Mungu taarifa ya kuupinga Mkataba huo wa kitumwa , huku wakitaka Katiba Mpya ije hata kesho mchana

Hali ilikuwa kama hivi mnavyoiona

View attachment 2703917View attachment 2703918View attachment 2703920View attachment 2703922View attachment 2703924View attachment 2703925View attachment 2703928
Safi watu wanaelewa ubovu wa CCM kila uchwao.
 
Mungu Ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom