Uwekezaji wa bandari na mkataba mzuri yote ni ya muhimu kwa Tanzania

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Naomba nitoa maneno machache hasa kwa wapotoshaji

1. Uwekezaji ni muhimu sana kwenye bandari yetu ya Dar na nyinginezo.

2. Mikataba yenye maslahi kwa taifa nayo ni muhimu sana kwa taifa letu.

Hivyo badala ya kulumbana na wananchi serikali ishirikiane na wadau na wale wanao lalamikia mkataba kutokuwa na maslahi. Pili wakimsema Samia wanasema Uraisi na sio Raisi pekee hivyo kusiwe na upotoshaji. Uraisi ni taasisi na sio mtu mmoja tu.
 
Wajinga wale, wanamdanganya Samia wanakula perdiems tu mikoani huko eti wanaelimisha! Mwanzo wa mkutano Hadi mwisho hakuna mahali wanazungumzia mkataba na content yake
 
Back
Top Bottom