Kimuundo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania ni Mfalme kwa nchi na wana CCM wenyewe

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello JF,

Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari.

Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme.

Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM wako kama tumbili au ngedere wapiga kelele kama za Chula.

Hawaelewi chochote. Uzezeta ni zao la kupwaya kiakili na ukosefu wa maarifa mtambuka.

CCM kwa sasa ni tambala bovu.

Kule kokoto mkifura.

Ni hayo bado tutakuja na mawe zaidi.

Wadiz ndio mimi.
 
Ninachojua ufalme ni utawala ambao mtawala hana ukomo wa kutawala. Tusifiche ukweli mfalme Tanzania ni DJ pekee. Mpaka sasa haijulikana kama atastaafu ama atastaafishwa na kama akistaafishwa ni kwa damu au kwa amani hayo yote tunayasubiri.
 
Rais wa Tanzania ndani ya Tanzania ana mamlaka makubwa kuliko Rais wa Marekani ndani ya Marekani.

Kumbuka hilo.
 
Ninachojua ufalme ni utawala ambao mtawala hana ukomo wa kutawala. Tusifiche ukweli mfalme Tanzania ni DJ pekee. Mpaka sasa haijulikana kama atastaafu ama atastaafishwa na kama akistaafishwa ni kwa damu au kwa amani hayo yote tunayasubiri.

Umeanza na point ya kijinga sana. Mtawala si muda tu. Ila hapingwi kwa lolote analoamua
 
Kumbuka kuwa Rais wa Marekani hapandi gari la popote, anasafiri na gari lake.
Vilevile watz ila kule hana lakuamua wanpeleka watakavyo inakuaje mtu mwenye mamlaka madogo nchini kwake awe nausafiri binafsi wewe mwenye mamlaka upelekwe kama mwanafunzi?
 
Kpanda basi na wenzako hakukufanyi uwe mwanafunzi huo ni uungwana, ile ndiyo kujumuika pamoja mazikoni. Elewa kuwa hawakustukizwa, labda kasome kuhusu "itinerary protocol" utanielewa.

Mkapa alipokuwa Rais, alivyoenda kupeleka posa ya mwanawe, aliwacha kwenda na magari yote ya Ikulu akapanda daladala.

Ni namna moja ya heshima, lakini kwa ufinyu unaouonesha nafikiri hautanielewa.
 
... Tundu Lissu amepiga kelele sana kuhusu URAIS WA KIFALME kwa Katiba iliyopo. Hiyo ndio maana yake.
 
Apige tu.

Mama samia alishaanza mchakato siku nyingo kabla hata tundu lissu hajarudi Tanzania.
 
Kpanda basi na wenzako hakukufanyi uwe mwanafunzi huo ni uungwana, ile ndiyo kujumuika pamoja mazikoni. Elewa kuwa hawakustukizwa, labda kasome kuhusu "itinerary protocol" utanielewa.

Mkapa alipokuwa Rais, alivyoenda kupeleka posa ya mwanawe, aliwacha kwenda na magari yote ya Ikulu akapanda daladala.

Ni namna moja ya heshima, lakini kwa ufinyu unaouonesha nafikiri hautanielewa.
Kwasababu hueleweki
 
Hello JF,

Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari.

Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme.

Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM wako kama tumbili au ngedere wapiga kelele kama za Chula.

Hawaelewi chochote. Uzezeta ni zao la kupwaya kiakili na ukosefu wa maarifa mtambuka.

CCM kwa sasa ni tambala bovu.

Kule kokoto mkifura.

Ni hayo bado tutakuja na mawe zaidi.

Wadiz ndio mimi.
 
Attachments

  • IMG_1599.MP4
    12.5 MB
Back
Top Bottom