Vita the Ukraine ni "turning point" kwa nchi za Afrika

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Huu ni wakati ambao nchi za Afrika kuwa kulia zaidi au kushoto kushoto zaidi mwa mgogoro, hakuna kuwa katikati mwa mgogoro. Mgogoro huu utasababisha vita vikuu moto na baridi ambapo wale wa kulia watakuwa kulia na wale wa kushoto watakuwa kushoto zaidi, wa moto watakuwa moto na wa baridi watakuwa baridi.

Mgogoro huu utazalisha mizania mpya ndani ya Afrika na duniani, kuna nchi za kiafrika zitakuwa superpower kijeshi na kiuchumi na kuna nchi zitakua legelege sana na maskini sana. Kuna nchi za kiafrika zitakuwa na nguvu za kinyuklia na kuzitishia nchi nyingine za kiafrika, kuna nchi zitakuwa na silaha kali za kirusi, Korea ya kusini na kichina na kuna nchi zitakuwa na silaha kali za magharibi. Hakutakuwa na kutofungamana na upande wowote tena (uvuguvugu). Kuna nchi zitaachwa katikati kama maji ya vuguvugu, kuna vita watu wanapigana lazima uchagua upande wa kusaidia ili ushinde, maana hakuna atakaekula matunda ambayo hakuyapanda, kuyapalilia wala kuyahudumia (ndumilakuwili, coward, nyasu).

Nchi za zetu hizi nilazima wafanye sasa leoleo ile kitu inayoitwa "opportunity cost" kati ya kwenda Urusi na kwenda Marekani.

Ona mchezo wenyewe unavyoanza:
 
Sawa

USA: Africa chagueni Kati ya Dawa za kufubaza Ukimwi Kutoka kwetu au Ngano Kutoka Russia
bora wafe tu kwa HIV miili ya watakaobaki itajitengenezea na kujipatia kinga yenyewe. magonjwa hayakuanza leo
 
Back
Top Bottom