Mwanasheria pekee wa CCM mwenye uwezo wa kufafanua vipengele vya Mkataba wa Bandari ni Naibu Waziri Patrobas Katambi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,015
142,055
c5d9a38295acc5fac56cf24e198f8abc.jpg

Kwa sasa CCM Baada ya mtemi Chenge kuzeeka Mwanasheria pekee aliyebaki mwenye Uwezo na Uzoefu wa kuchambua vifungu Vya Mkataba ni Patrobas Katambi.

Nashauri Katambi aingizwe kwenye Kikosi cha Uelimishaji bila ya kujali Uchadema wake.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana!
 
View attachment 2703498

we uko usingizini unaota? Katambi ni CHADEMA? mtu ni waziri CHADEMA ina serikali?
 
View attachment 2703498

Kwa sasa CCM Baada ya mtemi Chenge kuzeeka Mwanasheria pekee aliyebaki mwenye Uwezo na Uzoefu wa kuchambua vifungu Vya Mkataba ni Patrobas Katambi.

Nashauri Katambi aingizwe kwenye Kikosi cha Uelimishaji bila ya kujali Uchadema wake.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana!
Bwashee usifanye Cham chetu kikaendelea kudharaulika bureee
 
Hiyu jamaa nafikir aliingia ccm kwa sababu ya JPM, jamaa ni chadema damu damu, kipindi cha nyuma tumefanya naye kazi ofisi fulani alikuwa chadema kindaki.
Kuna mtubaliwasema katu, shabiki wa Simba hawezihamia Yanga. Vivyohivyo Wanasiasa nguli hata wakihamia chama kwa sababu zozote zile, bado element za chama chake cha wali huendelea kuwepo. Ukiacha wale wa mchongo. Kuna maisha Fulani huwa yamemjenga akiwa huko so kubadilika kwa 100% ngumu sana

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2703498

Kwa sasa CCM Baada ya mtemi Chenge kuzeeka Mwanasheria pekee aliyebaki mwenye Uwezo na Uzoefu wa kuchambua vifungu Vya Mkataba ni Patrobas Katambi.

Nashauri Katambi aingizwe kwenye Kikosi cha Uelimishaji bila ya kujali Uchadema wake.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana!
Wewe una matatizo gn? Kwa nini unapenda kurudia rudia kuvunja amri ya 3 ya Amri za Mungu..usiwe unataja jina la Mungu kwenye mizaha yako utakuja kuumia wewe!
 
Back
Top Bottom