Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,210
12,913
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

Screenshot_2023-04-12-20-44-23-47_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg
Screenshot_2023-04-12-20-43-55-62_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
 
hivi ndege ya raisi inakuwa tracked kirahisi hivi ?

vipi Air force one?
Mara nyingi hauoni destination ila sina uhakika kwa ndege ya rais wa Tz

Pia ndege kuwa tracked hvy sio ishu kubwa mana hakuna details muhimu za ndani kabisa za ndege mfano, huwezi kujua kuna idadi gn ya watu humo ndani, serial number huzioni. Tunachoona ni safari zake, namba za usajili ya ndege, mmiliki wa ndege (kama ni private mara nyingi hua hawamuandiki mhusika) n.k

Air force one sijawahi kuona wakitaja destination, VP wa USA alivoondoka siku kama 5 hv mbele Air force one ilipita Tena kwenye anga letu lkn haikuwa na destination, hy siku nilikuwa napoteza muda kwa kuangalia ndege zinazopita kwenye anga letu na nikaiona hy ndege ikiwa kwenye uelekeo wa JNIA lkn ikapitiliza kuingia bahari ya Hindi.
 
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

View attachment 2585662View attachment 2585663

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Kabudi alivyoenda na ndege ya rais kwenda kuchukua zile Juice Madagascar kwani rais naye alikuwemo kwenye ile ndege?
Wewe mada yako ni rais au ndege ya rais?
 
Back
Top Bottom