BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Eliezer Feleshi, amesema tayari Serikali imewasilisha maombi yenye sababu 15 za kubatilishwa kwa hukumu hiyo pamoja na kusitishwa kwa utekelezaji wake.
Pia, imeelezwa kuwa maombi ya kusitisha utekelezaji wa hukumu ya ICSID yanalenga kulinda Ndege za Serikali zilizopo hatarini kukamatwa kutokana na uamuzi wa kesi hiyo.
Julai 14, 2023, Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID), kiliiamuru Tanzania kuilipa kampuni ya Indiana Resources na wadai wengine fidia ya kukiuka Mikataba ya Uchimbaji Madini.
========