CHADEMA na CCM mnavyozunguka huko Mikoani mtoe na elimu ya kwanini tunashindwa kila uchao kwenye Mahakama za Kimataifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,993
142,010
Hili ni ombi langu kwenu kwamba tuandaane kabisa kisaikolojia.

Leo Shujaa Magufuli hayupo lakini akina Prof. Kabudi wapo na wamekaa kando kana kwamba hawakuhusika na haya mabilioni ya fedha tunayolipishwa.

Ikiwezekana ifanyike kama Kenya wanaosaini mikataba mali zao zifanyiwe valuation Ili ukitokea uzembe walipishwe wao ni binafsi.

Nchi ngumu sana hii!
 
KAMPENI ZA UCHAGUZI ZIMEANZA?,NAONA WENGINE MPAKA WANAZUNGUKA NA MAHELIKOPTA KULIKONI?
Bwana msajili kampeni zimeanza?
 
Mkuu Paskali maswali ni mengi ya kuuliza hasa baada yakuibuka uwekezaji wa bandari za Tanzania bara kuhusishwa na maamuzi ya walioridhia kutoka upande wa Tanzania Visiwani km Kwa nini bandari za visiwani hazihusiki wakati ni mkataba kati ya JMT na Dubai? Wengine wamefikia kuuliza Je, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inachangia kiasi gani kuendesha Serikali ya JMT, isije kuwa mapato ya uwekezaji Bandari yakanufaisha pia Zanzibar?

Yawezekana tunafanywa kichwa cha Mwendawazimu kama ulivyohitimisha
 
Imetokea tu bahati mbaya kwako, na wewe leo ungekuwa sehemu ya wabunge waliopitisha IGA ya Dubai na Tanganyika.
Unajua tatizo ni chama chako lakini bado umeendelea kukiamini. Ndio maana mabandiko yako humu yanakuwa sio hdlisia bali ya kinafiki.
Mkuu Tamsa, tamsana, imetokea Mama Samia, namfahamu sana, anahitaji msaada sana, hapa tuu nilipo, I'm nobody, namsaidia sana!.

Spika Dr. Tulia ni mwalimu wangu UDSM, namfahamu sana weakness zake, kiukweli Bunge letu Tukufu linapitisha madudu ya ajabu kwa kukosa watu wenye boldness yangu!.
Hebu nisikilize hapa,

Sasa, just imagine mtu wa type hii angekuwepo Bungeni, huu ujinga ujinga wa Bunge letu ungepita?. Ningemsaidia sana Tulia.
P
 
Acha utani Paskali.
 
Hili ni ombi langu kwenu kwamba tuandaane kabisa kisaikolojia.

Leo Shujaa Magufuli hayupo lakini akina Prof. Kabudi wapo na wamekaa kando kana kwamba hawakuhusika na haya mabilioni ya fedha tunayolipishwa.

Ikiwezekana ifanyike kama Kenya wanaosaini mikataba mali zao zifanyiwe valuation Ili ukitokea uzembe walipishwe wao ni binafsi.

Nchi ngumu sana hii!

Hili ni ombi langu kwenu kwamba tuandaane kabisa kisaikolojia.

Leo Shujaa Magufuli hayupo lakini akina Prof. Kabudi wapo na wamekaa kando kana kwamba hawakuhusika na haya mabilioni ya fedha tunayolipishwa.

Ikiwezekana ifanyike kama Kenya wanaosaini mikataba mali zao zifanyiwe valuation Ili ukitokea uzembe walipishwe wao ni binafsi.

Nchi ngumu sana hii!
Tunashindwa siyo kama hakuna vichwa vya kutosha kutete bali ni sisi kukiuka vifungu vya mikataba. Hatufuati taratibu za termination bali sometimes tunatumia nguvu ya ndani tuliyonayo.
Matumizi ya nguvu normal huja baada ya kugundua kuwa tumeliwa kwenye mkataba husika. Kuepuka hayo yote ni kuweka mechanisms nzuri ya kupitia hiyo mikataba kabla ya kusahiniwa. Imagine DPW inavyosumbua kabla hata ya fully utalization, unategemea years to come watoto wetu wataendelea na hiyo ndoa? Wataona potelea mbali tudaiwe tu kuliko kuendelea na hiyo kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom