Akiwasilisha kero kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mmoja wa Wafanyabiashara amesema, "Kuna Askari anaitwa Mpemba hapo Kamata amenipelekesha sana, pia kuna mwingine mweusi yuko hapohapo...
Mkutano wa aina hii kiukweli mara ya mwisho niliushuhudia Wakati wa Hayati Sokoine.
Waziri mkuu anatoa nafasi kwa Watu zaidi ya 50 kuuliza maswali na kutoa maoni.
Nashauri Wabunge wote Kuanzia...
Rais tumemchagua sisi wenyewe kwa mujibu wa katiba. Anaongoza serikali na nchi kwa jumla kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kwa ujumla wake. Kutokumtii Rais ni kuwadharau wananchi na...
Wafanyabiashara wa kariakoo (wananchi) wanavyofunguka kueleza kero zao kwa waziri mkuu ni kuwachana watendaji wa wizara ya fedha kinaridhisha.
Mambo mengine tulizoea kusikia kwa wapinzani ndani...
Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo.
Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri...
Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba PhD amesema zamani mtu akimaliza form 4 au 6 alikuwa anaajiriwa moja kwa moja na ukiwa Chuo ukimaliza tu unakutana na Barua 3 au 4 za ajira inayokusubiri.
Lakini...
Wataalamu wa uchumi wameshauri eneo la Kariakoo, Dares Salaam liwe mkoa maalumu wa kibiashara na pia mamlaka za serikali zinazohusika na biashara ziwe na mifumo inayosomana ili kuepuka migomo ya...
Kitabu cha Biblia, kinatanabaisha kuwa msingi mkubwa wa kutenda dhambi ni tamaa. Biblia inawataja binadamu wa kwanza Adam na Hawa kuwa kilichowafanya kutenda dhambi ya uasi kwenye bustani ya Eden...
Mwenyekiti wa Chadema leo ameipokea Chopa ya kisasa ambayo itatumika kwenye operesheni 255 , ambayo ni ya kufundisha wananchi wa Tanzania juu ya Umuhimu wa Katiba Mpya , ambayo pamoja na mazuri...
MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya...
Salaam Ndugu zangu,
Kijana wenu mfukunyuzi mtembezi sipendi kuacha kutia neno kila napoona jambo halijakaa sawa. Leo nikiwa kwenye harakati zangu nimepita maeneo ya kituo cha Kawe na kuona mambo...
Igunga kunufaika na minara ya mawasiliano ya simu kwenye kata kumi na moja.
Tarehe 13 Mei, 2023 serikali imesaini mikataba na makampuni kwa ajili ya ujenzi wa minara ya mawasiliano ya simu. Halfa...
Jamani viongoz i wa Urambo kuanzía Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi na Baraza la madiwani mnaruhusu gereji za pikipki kuzagaa kila mahali kwenye ka mji kenu yaaani mmekosa eneo moja la kufunguà gereji...
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa...
Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam,
Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo.
Tarehe 28/10/2020 ni siku...
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!
Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu...
Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia.
Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amefanya ziara ya kutembelea machinga mitaa ya mwenge , makumbusho na ubungo (simu 2000) kujua nini kinafanyika kwenye biashara hizo kabwa ya kuanza kazi rasmi awe na...
Sisi wakaazi wa jiji la Dar es Salaam tupo tayari kukupokea na kukupa ushirikiano ndugu Chalamila.
Wana Dar es salaam tunaweza kuchangia mapato ya Serikali kwa kiulaini sana kupitia kupiga tungi...