Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!

Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!

Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.

Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!

MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!

Ushauri:

Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!

Mgogoro huo hauwezi kutatulika haraka kisheria. Sasa ili maisha yaendelee ni wajibu wa Rais Samia kuutatua ki siasa ili maisha yaendelee huku utatuzi wa kisheria ukifanyiwa kazi.

JUST LIKE THAT!
 
Ki sakakata kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!

Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!

Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA
Mmmhh
 
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!

Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!

Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.

Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!

MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIKAOO MAISHA YAENDELEE.

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA
Acha hizo!
Sakata lake mwenyewe tu akakimbilia Chato!
 
Mkuu migogoro haitatuliwi kwa namna moja tu, migogoro haifanani hata kidogo. Ipo migogoro ambayo ni "genuine" na ipo ile ya kimaslahi "vested interest". Serikali inapotaka kufanya utatuzi haiwezi kutumia njia ile ile bila kujiridhisha kuwa njia hiyo italeta suluhu.

Halafu huu ndiyo uwanja mpana wa demokrasia tunayoitaka. Kama umesikiliza maelekezo yaliyotolewa utaona. Wafanyabiashara wamepewa uhuru kuwa wanaotaka kufunga maduka wasiwe sababu ya kuwazuia wanaofungua.

Jitihada nyingine za kiutawala tumeshuhudia zikichukua nafasi yake. Juu ya hili ni mapema sana kukosoa jitihada za Serikali.
 
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!

Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!

Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.

Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!

MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA
Yangepigwa mabomu ya machozi na viongozi wa wafanyabiashara wangetekwa na baada ya wiki miili yao ingeokotwa kwenye sandarusi.
 
Nenda chato kabisa ukampe maua yake

20230516_184957.jpg
 
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!

Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!

Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.

Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!

MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA
Hivi ulivyo mjinga hujui kuwa sakata hili kiini chake ni sheria mbovu iliyopitishwa na bunge haramu lililowekwa na shetani Magufuli kwa uroho wake wa pesa?

Unachotaka kutueleza ni kuwa huyo shetani Magufuli angemaliza sakata hili kwa simu kwa kuvunja sheria?

Haya kalale juu ya kaburi lake kwa kumlilia zaidi!
 
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!

Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!

Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.

Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!

MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!

Ushauri:

Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!

JUST LIKE THAT!
Sahihi
 
Hutakiwi kumaliza matatizo ya kiuchumi kwa kutumia nguvu.

Matatizo ya kiuchumi yanatatuliwa kwa akili.

Viongozi wa Tanzania wanatakiwa kuanza kutatua matatizo ya kodi kwa kujifunza Arthur Laffer's Curve.

Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!
...

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!
Na ni uendawazimu pia kudhania kila kitu kingeweza kutatuliwa na JPM kwa kutumia nguvu na udikteta.
 
Mie nadhani hatua za serikali so far ni sahihi. Muhimu ni kuhakikisha walio tayari kuendelea na biashara zao wasitishiwe na wengine.

Wanaogoma waachwe wagome maumivu ya pande mbili, serikali isikubali kutishiwa nyau asietaka afunge biashara.

Halikadhalika hoja za msingi za wafanyabiashara za usumbufu watu kwenda madukani kwao kila siku na kukamata wateja hilo lazima litazamwe.

Kuchunguzana miaka 5 nyuma bila ya sababu za msingi pia sio sahihi, unafanya hivyo pale ambapo umebaini kuna makosa kwanza ya kukwepa kodi mwaka husika kama kuna ushahidi huo. Baada ya hapo ndio unaweza kuchunguza na nyuma kama huyo mtu alitumia mbinu hizo hizo kukwepa kodi. Lakini hilo sio swala la regular testing huo sasa ni usumbufu.

Kuhusu access ya storage hiyo sio hoja, inapobidi kufanya ivyo, iwe ivyo ni halali kabisa kisheria. But then ni kama swala la kurudi nyuma miaka 5 mambo kama hayo ufanyika kwenye tax investigation tu au random checks kuonyesha serikali aijalala lakini sio kila afisa anapojisikia kutaka kuingia store za watu huo sasa unakuwa usumbufu.
 
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!

Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!

Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.

Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!

MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.

NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!

Ushauri:

Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!

Mgogoro huo hauwezi kutatulika haraka kisheria. Sasa ili maisha yaendelee ni wajibu wa Rais Samia kuutatua ki siasa ili maisha yaendelee huku utatuzi wa kisheria ukifanyiwa kazi.

JUST LIKE THAT!
Well said mkuu, hataivyo angekuwa Magu hilo tatizo lililo anzisha huo mgomowenyewe lisingekuwepo.
 
Tumefika hapo kwenye migomo sio kwa sababu ya demokrasia kama ulivyoliweka - tatizo ni kodi bambikizi, sheria kandamizi za kodi (sio za haki) na njia haramu za task forces kudai kodi na/au madeni ya kodi. - halafu mbona tayari Waziri Mkuu Majaliwa kaliongelea vizuri jana.

Magufuli aliharibu mambo mengi sana liiwemo hilo la kodi.

Asingeweza kutatua au kutoa mchango chanya zaidi ya ile tuliyoifahamu - kutisha, kutesa, kufunga jela au kuua.
Kutumbua alitumbua alivyotaka lakini hakutatua matatizo kama wizi, ufisadi, ubadhirifu nk.

Hili linahitaji weledi na hekima wala sio nguvu.

Waziri Mwigulu ni mzigo mkubwa kwa serikali ya Rais Samia. Hilo sijui kwa nini halioni kwa uzito wake
 
Back
Top Bottom