Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Happy Birthday Mzee Mwinyi. Umeona niliandika pale mwanzo kwa nini Hussein anakwenda huko kila wakati, kumbe leo birthday ya Mzee.
1 Reactions
3 Replies
977 Views
Katika salamu zake kwa baba askofu mteule Elirehema wa KKKT Dayosisi ya Dodoma Makamu wa Rais Dr Mpango alimsomea Neno Kutoka 1 Timotheo 3:1-10 Sifa za mtu anayetamani kuwa Askofu Source: Upendo...
1 Reactions
14 Replies
798 Views
Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya...
35 Reactions
86 Replies
5K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema amewataka NEMC wapite nchi nzima kufungia bar zenye Kelele Watanzania wengi mitaani na mitandaoni wanaipongeza serikali kupitia baraza la...
0 Reactions
3 Replies
533 Views
Na Gordon Kalulunga Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka. Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe...
22 Reactions
183 Replies
7K Views
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja...
28 Reactions
164 Replies
12K Views
Habari zenu wanajamii Furaha yangu ni kupata majawabu ya kila swali. Leo ninayo njia ya kuondoa udini serikalini. Lipo neno linaitwa KWELI nalo ni mfano wa Biblia,na Quruan.Ila tofauti yake...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna watu wanamdiss jk lakini ukweli ni kwamba kipindi Cha jk kila kitu kilifunguja na ajira kila mahala.hata jeshi hakukuwa na haja ya kupita jkt kila mtu aliyekuwa na passion basi jeshi ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Wadau nadhani wote tunakumbuka kuwa Suala la KATIBA MPYA iliundwa TUME ya JAJI WARIOBA na Kuandaa RASIMU ya KATIBA lakini Mchakato ulikwama Kwenye BUNGE la KATIBA. Gharama ya Tume,Rasimu Mpaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhe. Waziri WA Fedha Bila kujali kesi zilizowahi kufunguliwa na kuamuliwa kwenye mabaraza mbalimbali amegongelea msumari kuunganishwa Kwa Tanga cement na Twiga cement Kwa maelezo kwamba serikali...
2 Reactions
2 Replies
671 Views
Wanabodi habari ya muda huu? Nimekua nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea katika Jiji la Arusha kwakweli hakina Afya sana kwa siasa za awamu ya sita. Ikimbukwe kihistoria jimbo hili ni la...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana. Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Salamu zenu nyote! Mtakubaliana na Mimi kuwa Rais wetu alipoapishwa kuendeleza kijiti Cha Urais, alipania kuendeleza Yale aliyoyafanya JPM. Kwanza, alitoa kauli iliyoashiria ukuu wa mamlaka kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
3 Reactions
78 Replies
4K Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara. Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala...
28 Reactions
360 Replies
17K Views
Back
Top Bottom