Kwanini Chalamila kafanya ziara Mwenge na si Kariakoo?

Kwanini Chalamila kafanya ziara Mwenge na si Kariakoo?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,060
Reaction score
28,513
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amefanya ziara ya kutembelea machinga mitaa ya mwenge , makumbusho na ubungo (simu 2000) kujua nini kinafanyika kwenye biashara hizo kabwa ya kuanza kazi rasmi awe na pa-kuanzia.

Amekutana na wanyabiashara wadogo na kujadili hili na lile maana kuona ni kuamini ili awe na picha halisi ya namna ya ku-deal na machinga hawa.


USSR

FB_IMG_1684305448879.jpg
FB_IMG_1684305444739.jpg
FB_IMG_1684305595956.jpg
FB_IMG_1684305591401.jpg
FB_IMG_1684305453482.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkubali sana RC Chalamila, Mzee wa site.

DSM inahitaji mtu kama huyu nginjangija. Mfuatiliaji kila Kona.

Anacho takiwa kufanya hivi sasa ni kulitanua Jiji la dsm, maeneo ya pembezoni yaboreshwe kibiashara na miundombinu.
 
Kkoo tayari tunasubiri kikaao.
Huko ameenda kuonana na wadogo zetu ili apate mwanga. Hakuna kukurupuka kuanzia mlimani halafu uanze kushuka utaporomoka tuu. Akili kubwa
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amefanya ziara ya kutembelea machinga mitaa ya mwenge , makumbusho na ubungo (simu 2000) kujua nini kinafanyika kwenye biashara hizo kabwa ya kuanza kazi rasmi awe na pa-kuanzia

Amekutana na wanyabiashara wadogo na kujadili hili na lile maana kuona ni kuamini ili awe na picha halisi ya namna ya ku-deal na machinga hawa


USSR View attachment 2624901View attachment 2624902View attachment 2624903View attachment 2624904View attachment 2624905

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa mechi ningesema aliotea, juzi jioni kahamishwa leo ziarani, ofisi na mafaili amekabidhiwa saa ngapi?
 
Hapo tunatafuta Mbadala wa Soko la Kariakoo!!Wao waendelee tu na Mgomo
 
Nitamkubali kama ataiakanyaga road ya Mvuti kuelekea Dondwe (gereza la Mvuti). Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom