Kumekucha tena wanajukwaa la JF,
Msakatoke mwenzenu nimejaliwa siku mpya tena pamoja na familia yangu. Ntakua mchoyo wa shukrani bila kusema: Asante Muumba kwa siha njema na faragha. Amma baadu...
TRA mnakumbuka hii kauli ya Rais? Mmefikia wapi? Jana nimesikia TRA kwa upande wa kodi ya majengo wamepata msamaha wa riba kuanzia July hadi December. Mbona kwa wafanyabiashara zingine hatusikii...
Nimeona mipango ya waziri bashe, mipango imejaa maneno matamu na porojo nyingi. Bahati mbaya wengi hupenda hizi porojo kuliko uhalisia.
Bashe kwenye mipango yake kufikia 2025 wizara imepanga...
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani?
Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Tuliona kwa Mkapa wakitolewa kafara watumishi wadogo na wafagizi wa uwanja, eti wanapisha uchunguzi ufanyike na kuchukuliwa hatua kali.
Sasa leo imetokea Bungeni, tena mbele ya Wizara husika na...
Kiukweli ile hukumu ilikuwa ya kibabe,kisiasa iliyolenga kutisha watanzania katika kuusema ukweli dhidi ya Baadhi ya viongozi waliolitumikia nchi hii lakini kama wanadamu wanamapungufu,ikiwemo...
Natumaini kila mmoja kuanzia serikali, viongozi wa dini na watanzania wote mmeona Kwa kiasi gani watanzania wamegawanyika Kwa Sababu ya maneno na matendo ya wanasiasa.Imefika wakati mwanasiasa...
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya Chadema huku ajitafakari kuanzisha chama mzee Membe alimwita akamwambia asihangaike Ubalozi wa Ujerumani uko wazi ataongea...
Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.
Hapa wazidi lazima awajike na timu yake...
Zitto katoa kashfa nzito kuvihusu vyombo vya dola kwa kutumika kumchafua Membe ikiwamo mitambo ya vyombo hivyo kutumika kuchapisha magazeti ya kumchafua.
Maoni yangu:
Hii kashfa ni kubwa mno...
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)
Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara...
Uamuzi wa kusitisha operesheni hii ya Kikoloni umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla .
Makalla amedai kwamba operesheni hii imesitishwa ili kupisha mazungumzo kati ya...
Rais Samia Suluhu akiwa ziarani Kagera ALIIAGIZA TRA KUACHA KUWADAI WAFANYABIASHARA KODI ZA MIAKA YA NYUMA , kwamba huo ni uzembe wao wenyewe , hivyo wasisumbue Wafanyabiashara na kwamba wawaache...
Hakuna atakayepinga kuwa Kariakoo ni moja ya sehemu muhimu sana kwa makusanyo ya kodi na ukuzaji uchumi kwa kupitia biashara.
Leo wamegoma na kuna dalili za mgomo kuwa wa siku kadhaa.
Malalamiko...
Mfumo wa serikali unaenda kwa maandishi, nadhani kinachotokea nikutokuwa active kwa wasaidizi wa viongozi waandamizi.
Ofisi ya katibu mkuu kiongozi ikitoa forma directive kuhusu tamko la kisera...
Huyu mkuu wa mkoa ni muhuni TU. Bora charamila mara10000.
Yaani wananchi wanajosa amani anapiga porojo. Sikutegemea kuendelea hapo DSM nilishangaa makala kuachwa tangu watoto watukitu panyaroad...
Wakuu poleni na misiba isiyo na idadi inayotuandama kila kukicha .
Hata hivyo mengine lazima yaendelee , Huko Busanda shughuli ya Chadema inayofanyika leo ya kuelimisha wananchi kuhusu Katiba...
Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya...
Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno.
Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anesema Utitiri wa kodi ndio unaosababisha Bei ya Nyama na Maharage zifanane kadhalika Bei za Unga na Mchele zifanane
Pia Tundu Lisu anesema...