sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,564
- 11,478
Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.
Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.
Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumzururisha huyu mama juani.
Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.