Kama Tanzania itaishinda corona kutokana na msimamo wake, Rais Magufuli atakuwa kivutio cha watalii kama mfalme Suleiman

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,486
2,332
Mfalme Suleiman alipewa mtihani kwa kuletewa kesi na wanawake wawili wakigombea mtoto mmoja, mtihani ambao aliushinda kwa hekima kubwa sana. Hekima aliyoitumia kushinda mtihani huo ilifanya watu wa mataifa mbalimbali wamiminike kwenda kumuona na kumpelekea zawadi.

Nimemfananisha JPM na mfalme Suleiman kwa kuwa JPM naye kapewa mtihani wa corona, hekima aliyoitumia kufanya maamuzi ni kinyume na msimamo wa dunia. Kama Tanzania tutaishinda corona kwa msimamo huu ni dhahiri Tanzania itapaa kwenye utalii kwa kuwa watu watakuja si kwasababu ya kuona wanyama bali kuona Tanzania inafananaje, kuona huyo Shujaa aitwae JPM yukoje.

Ila kama tutashindwa pia kuna madhara yake tutakuwa laughing stock of the world
 
Kwan kuna nchi afrika imepigwa na ugonjwa huu au ni Vile ugonjwa umetusamehe tu?

Sio waliojiloki wala ambao hawajajiloki hakuna ambaye kapambana na ugonjwa huu ni ugonjwa wenyewe tu ama umekuwa dhaifu huku au haujaamua kuangusha watu Muda ni msema kweli tuendelee kusubiri.
 
Mfalme Suleiman alipewa mtihani kwa kuletewa kesi na wanawake wawili wakigombea mtoto mmoja, mtihani ambao aliushinda kwa hekima kubwa sana. Hekima aliyoitumia kushinda mtihani huo ilifanya watu wa mataifa mbalimbali wamiminike kwenda kumuona na kumpelekea zawadi.

Nimemfananisha JPM na mfalme Suleiman kwa kuwa JPM naye kapewa mtihani wa corona, hekima aliyoitumia kufanya maamuzi ni kinyume na msimamo wa dunia. Kama Tanzania tutaishinda corona kwa msimamo huu ni dhahiri Tanzania itapaa kwenye utalii kwa kuwa watu watakuja si kwasababu ya kuona wanyama bali kuona Tanzania inafananaje, kuona huyo Shujaa aitwae JPM yukoje.

Ila kama tutashindwa pia kuna madhara yake tutakuwa laughing stock of the world
Naunga mkono hoja
866874A7-E780-4CF2-9708-6C7613CEB3A3.jpeg

Mkemia huyu inatisha
P
 
Wabongo mna kelele sana...apo Nicaragua, Belarus, Eritrea,Lesotho,Turkimestan wasemeje au kwakua wao awaongei Kiswahili.

Nchi kama Nicaragua,Belarus na Turkimestan awajafunga shule na ligi zao zinaendelea kama kawaida.Ebu punguzeni lopo lopo nyie ngozi nyeusi
 
Wabongo mna kelele sana...apo Nicaragua, Belarus, Eritrea,Lesotho,Turkimestan wasemeje au kwakua wao awaongei Kiswahili. Nchi kama Nicaragua,Belarus na Turkimestan awajafunga shule na ligi zao zinaendelea kama kawaida.Ebu punguzeni lopo lopo nyie ngozi nyeusi
Eeh kumbe sisi sio wa kwanza ila mbona hao hawaandamwi kama sisi?
 
Mfalme Suleiman alipewa mtihani kwa kuletewa kesi na wanawake wawili wakigombea mtoto mmoja, mtihani ambao aliushinda kwa hekima kubwa sana. Hekima aliyoitumia kushinda mtihani huo ilifanya watu wa mataifa mbalimbali wamiminike kwenda kumuona na kumpelekea zawadi.

Nimemfananisha JPM na mfalme Suleiman kwa kuwa JPM naye kapewa mtihani wa corona, hekima aliyoitumia kufanya maamuzi ni kinyume na msimamo wa dunia. Kama Tanzania tutaishinda corona kwa msimamo huu ni dhahiri Tanzania itapaa kwenye utalii kwa kuwa watu watakuja si kwasababu ya kuona wanyama bali kuona Tanzania inafananaje, kuona huyo Shujaa aitwae JPM yukoje.

Ila kama tutashindwa pia kuna madhara yake tutakuwa laughing stock of the world
Ataishindaje wakati ishaua zaidi ya 100. Au kuficha ukweli ndiyo kuishinda Corona?
 
Back
Top Bottom