Je, nami nikija kuwa Mwanasiasa Kiongozi Afrika nikiwa nafanya Umafia huu wa Kikatili kwa nitakaowateua nitakuwa nakosea au napatia?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kwa mfano ikitokea nikawa na Msaidizi wangu ndani ya Ikulu ambaye nilimwamini mno ila baadae akaanza Kunikosoa, Kuchukizwa na Utendaji wangu na tabia zangu za Ukatii wa Kurithi huku nikagundua huwa anavujisha pia Siri zangu na Kuwaamuru Wasaidizi wangu ( Wana Usalama ) wammalize Kiuhai ila watumie Akili Kubwa isijulikane nitakuwa sijapatia?

Kisha hapo hapo nikishalimaliza hili Zoezi ambapo Mimi nitawashauri watumie Mvumo wa Magonjwa ya Mlipuko yaliyopo muda huo Wammalize kisha nitengeneze Fununu kuwa Ugonjwa huo ndiyo Umemmaliza wakati kumbe Kiuhalisia najua fika kuwa Wasaidizi wangu ( hasa Wana Usalama ) ndiyo wamefanikisha kwa Kumuwekea Sumu ya kutoka Urusi.

Baadae sasa naamua Kuteua ( Kumteua ) Mtu wangu mwingine wa karibu pia ila huyu nakuwa na uhakika nae wa Kummudu na isitoshe huwa pia ananisujudia mno ndani ya Himaya yangu ya Chama Cha Makatili Kurithi Mikoba ya niliyemwondoa ( niliyemmaliza ) Kiumafia ili niweze kupitisha Kiurahisi mambo yangu ambayo huyu niliyemteua si tu anayajua bali pia na Yeye nae anawamudu na kuwajua vyema Wanachama mpaka na Mawaziri niliowateua.

Je, nitakuwa nimepatia au nimekosea?
 
Yaani zama hizi mtu anaweza jiandikia jambo tu kwakua anajua wenzake hawana uwezo wa kupata ukweli wake.
 
Yaani zama hizi mtu anaweza jiandikia jambo tu kwakua anajua wenzake hawana uwezo wa kupata ukweli wake.
This thread is above your level of Understanding so you better stay away from it and read what Great Thinkers are commenting or you also respond Intellectually like others who fully grasped the whole content and its actual context.
 
Mambo hayo africa yapo sana ww hata ukiaanza kupendwa sana na wananchi zaidi ya kiongozi wako kaa kwa makini maana lazima tu israeli mtoa roho apige hodi
 
This thread is above your level of Understanding so you better stay away from it and read what Great Thinkers are commenting or you also respond Intellectually like others who fully grasped the whole content and its actual context.
Yaani huu ujinga ndio unaouita above the level of understanding??
 
Back
Top Bottom