Viongozi Wengi wa Siasa ni kama Wachungaji wa Mbuzi lakini Tundu Lissu ni sawa na Mchungaji mwema wa Kondoo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,123
Mchungaji mwema wa Kondoo hutangulia mbele na kondoo wa Kundi lake humfuata nyuma Ili atokeapo Mbwa mwitu aweze kuwakabili kondoo wasidhurike.

Mchungaji wa Mbuzi hukaa nyuma ya kundi lake na itokeapo hatari awe wa mwisho kudhulika.

Tundu Antipas Lissu pamoja na madhila yote aliyokutana nayo bado ametangulia mbele Kuongoza kundi lake.

Kuna wakati Hayati Jommo Kenyatta alimtania baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba anaongoza Mbuzi 😀😀😀

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Lissu!
 
Mchungaji mwema wa Kondoo hutangulia mbele na kondoo wa Kundi lake humfuata nyuma Ili atokeapo Mbwa mwitu aweze kuwakabili kondoo wasidhurike

Mchungaji wa Mbuzi hukaa nyuma ya kundi lake na itokeapo hatari awe wa mwisho kudhulika

Tundu Antipas Lisu pamoja na madhila yote aliyokutana nayo bado ametangulia mbele Kuongoza kundi lake

Kuna wakati Hayati Jommo Kenyatta alimtania baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba anaongoza Mbuzi 😀😀😀

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Lisu!
Ongea usomeke,kunawakati hatuhitaji kusumbua mbongo zetu🤔
 
Mchungaji mwema wa Kondoo hutangulia mbele na kondoo wa Kundi lake humfuata nyuma Ili atokeapo Mbwa mwitu aweze kuwakabili kondoo wasidhurike.

Mchungaji wa Mbuzi hukaa nyuma ya kundi lake na itokeapo hatari awe wa mwisho kudhulika.

Tundu Antipas Lissu pamoja na madhila yote aliyokutana nayo bado ametangulia mbele Kuongoza kundi lake.

Kuna wakati Hayati Jommo Kenyatta alimtania baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwamba anaongoza Mbuzi

Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Lissu!
Kenyata alikuwa sahihi kabisa, Nyerere aliongoza mbuzi,

Mwenge unawafanya wananchi kuwa mbuzi tu,

Na sasa tuna chama cha Mambuzi.
 
Back
Top Bottom