Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,420
Katika kila jambo la kisiasa linaloendelea , ikiwemo mikutano ya hadhara , kampeni na Maandamano , huwa kuna vijimambo vinavyofanyika vya kusisimua sana lakini huwa havipewi nafasi na Waandishi wa Habari , kwa kifupi ni kwamba haviripotiwi , kwa maana hiyo watu wengi hawavipati na hivyo kunyimwa uhondo .
Sasa leo kwenye maandamano kabambe ya BAWACHA (Taasisi bora ya wanawake Africa) , Wanafunzi wa shule ya msingi Bunge walikurupuka kutoka madarasani na kushiriki Maandamano hayo ya mama zao , huku wakishangilia na kuimba nyimbo za kusifu Chadema na kuonyesha alama za vidole viwili ambayo ni nembo ya Chadema , Pamoja na Juhudi za Mwl Mkuu na walimu wengine kuwazuia lakini haikuwezekana .
Hatimaye masomo yakavurugika ! Hii ni ishara njema sana kwa hawa makamanda watoto .
Mungu ibariki Chadema
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app