Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ameyasema hayo huko Arusha leo.
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Maana tunaimbiwa humu kila mara kua vijana wa bavicha ni bute kabisa, mpaka wanaitwa bavichaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanadodi, Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu. Wakati Tanzania tukiendelea...
27 Reactions
181 Replies
15K Views
Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Andiko la swali Kwa mijitu na Mianachama ya chama Cha mapinduzi, Mnaongoza mitaa yote nchini,mnaongoza vijiji vyote nchini, majimbo yote ya CCM, vitongoji vyote ni CCM chombo kikubwa Bunge ni la...
0 Reactions
3 Replies
316 Views
Shahidi wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbowe ameieleza mahakama kuwa mara baada ya kutolewa amri ya kurusha risasi za moto ili kukabiliana na waandamanaji ,alishuhudia Freeman Mbowe akitimua...
0 Reactions
94 Replies
10K Views
Wadau wakati utawala wa awamu ya 5 unaingia tena kwa mbwembwe nyingi tuliambiwa awamu ya 5 ni ya kujenga viwanda 100 kila mkoa. CCM nayo ililipigia kelele nchi nzima na kuliweka kwenye ilani yake...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Yuko wapi shujaa Aloyce Tendewa? na je sakata lake la kufukuzwa kazi liliishia wapi hasa baada ya habari hii ya mwaka jana iliyoeleza rais Magufuri hakurahishwa na suala la yeye kufukuzwa kazi...
9 Reactions
49 Replies
19K Views
Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa. Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato. Vipi...
1 Reactions
5 Replies
754 Views
Msukuma na Kibajaji hawa ni watu hatari sana kwa ukomavu wa majadiliano yenye afya. Ukiona hawa watu wameibuka ujue kuna jambo ambalo Wananchi linawagusa, Balozi Bashiru kasema yake, huyu anatabia...
5 Reactions
7 Replies
902 Views
Nilikuwa na kipato Cha kawaida, Ila yule akaharibu kabisa mipango ya maisha yangu. Kwa vile nipo hai naendelea kupambana
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu Membe, Nakusalimia kwa salamu ya uzalendo. Nichukue nafasi hii kukupa pole kwa misukosuko na mihangaiko ya kila siku ya maisha lakini pamoja na hayo nakupa pongezi tena pongezi za dhati...
32 Reactions
76 Replies
9K Views
Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje? Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana. Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na...
13 Reactions
69 Replies
4K Views
Mbunge wa Geita vijijini mh Dr Musukuma amesema Siyo Jambo la kheri kujiita au kumuita binadamu mwenzako CHAWA kwa sababu CHAWA ni mdudu mchafu anayejificha kwenye nguo za ndani Mimi siyo CHAWA...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita vijijini amesema Watanzania wampe muda Rais Samia wasimuhukumu kwa hii miaka miwili Msukuma amesema Magufuli alikuwa rafiki yake lakini aliwahi kumtupa jela mara 7 Msukuma...
15 Reactions
90 Replies
6K Views
Kwa mfano Prof Mbarawa kauliza ni lini Serikali ilisema itanunua treni ya High speed? Na kiukweli Serikali haikuwahi kusema hivyo hata yule " Mjusi" aliyemsema shujaa Magufuli Siyo wa high...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Umewahi kujiuliza kwanini vyama vya siasa hupoteza mvuto au kufa kabisa na vinaibuka vyama vingine ambavyo huchukua nafasi hiyo na kuwa na nguvu ambayo haukuwahi kufikiwa? Yawezekana sio mara...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…