Waziri Mkuu Majaliwa akerwa na kasi ndogo ya Mkandarasi mradi wa REA Newala

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
1692037555145.png

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehoji kwanini mkandarasi wa Rea, Newala hachukuliwi hatua ikiwemo kusimamishwa licha ya kuwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika baadhi ya vijiji wilayani humo.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara yake Wilayani Newala ambapo amesema kasi hiyo imeonekana kusuasua lakini bado wanawalea na kuwaongezea malengo mengine wakandarasi hao.

“Hivi mnauhakika mmempima mkandarasi na mmeona anakasi inayotakiwa kwanini bado mmnamlea na kumuongezea malengo ili akamilishe mpaka leo mlitarajia awe amewasha vijiji vingapi na amekamilisha vijiji vingapi na hajawasha vingapi na bado mnamatumaini na huyo mkandarasi kwanini asisimamishwe mbona tunao wakandarasi wengi wanataka kazi”?

“Nakuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanal Ahmed Abbas fuatilia hatua za mkataba huu fatilia kama hili linafikiwa malengo hatuwezi kukaa na mtu muda mrefu tuna mlipa alafu bado miradi inachelewa,” amesema.

“Unajua sasa hivi vifaa vipo na transfoma zipo vifaa vyote vya umeme vinatengenezwa nchini, fuatilia wakandarasi wote waliopo ndani ya mkoa huu chukua hatua kama mkishindwa niambieni nichukue mimi hizo hatua. Hawa mameneja wa wilaya na mikoa wanashindwa kwakuwa wana mamlaka zao za juu,” amesema Majaliwa.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalumu ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Newala mji ambaye pia George Mkuchika amesema kuwa huduma ya kuunganishiwa umeme katika wilaya hiyo imekuwa na kasi ndogo ambayo inpekelea vijiji vingi kukosa huduma hiyo.
 
Miaka 64 ccm oyeee
 
Toto pendwa Kipara yuko bize kutoa tskwimu za uongo tu kila kukicha
 
Back
Top Bottom