Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,757
- 218,373
Kijana Mzalendo na Mtetezi wa rasilimali za Taifa , shujaa Mdude Nyagali amegoma kutoa maelezo yoyote Kituo cha Polisi baada ya kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za Uhaini .
Mdude amewaambia Watukufu Polisi kwamba maelezo yake yote kuhusu Uhaini wake atayatoa Mahakamani .
Kwa Wale wageni wa JF na labda wale wenyeji wasahaulifu ni kwamba , hii si mara ya kwanza kwa Mdude kubambikwa kesi na Polisi wa Mbeya , wakati wa Hayati Magufuli aliwahi kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za kusafirisha na kuingiza dawa za kulevya kisha kuyasambaza nchini Tanzania , wakati hakuwahi kutoka Nje ya Tanzania wala hakuwahi hata kuwa na Passport.
Hata hivyo Polisi pamoja na kumuwekea dawa za kulevya nyumbani kwake ili kunogesha move yao bado waliangukia pua Mahakamani ,
Mdude aliishinda serikali Mahakamani, hakuachiwa kwa msamaha wa Samia kama wapotoshaji wengi wanavyodai .