Wapinzani msimwamini Dkt. Slaa

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Hi!

Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.

Huyu Dkt. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?

Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?

Dkt. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.

Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda.

Jioni njema.
 
🐒
IMG_20230721_190739.jpg

images (69).jpeg
 
Hi!
Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.

Huyu Dr. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?

Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?

Dr. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.

Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda
Jioni njema.
Mroma yupo kazini. Nilishaga mpuuza toka alipounga juhudi enzi za Roma.
Wanataka wao tu ndo waongoze nchi
 
Hi!
Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye reli.

Huyu Dr. Slaa alichotufanyia Watanganyika 2015 mmekisahau?

Mmesahau nasaha zake za miaka miwili iliyopita?

Dr. Slaa either propagandist mkuu hapa nchini aliyeajiriwa na serikali miaka mingi iliyopita au ni mtu wa fursa tu asiye na uchungu na taifa hili. Hupanua kinywa chake pale tu anapohitaji fursa.

Nasema hivi hiyo kesi ya Uhaini ndiyo stahiki yake, avune alichopanda
Jioni njema.
Hamna kesi hapo.
 
Friends and Enemies,

Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa,na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada.

Wilbroad Slaa,wakati wapinzani wanapambania demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na Utawala Bora katika awamu hii iliyopita,yeye aliwageuka na kutugeuka watanzania hadi kufikia hatua ya kusema kwamba hakuna haja ya katiba mpya,Rais JPM aachwe ainyooshe nchi.

Kama hiyo haitoshi, kipindi wenzake wamepewa kesi za kubumba na mwendazake ambapo hata hivyo Mh Rais Samia alikuja kuzifuta yeye aliwasagia kunguni na kusema hao siyo wapinzani,ni wapinga maendeleo.

Leo hii zama zimembadilikia na anaonekana kwenda kuozea selo hakuna hata chama Cha siasa kutoka upinzani kinachohangaika nae, Wilbroad Slaa amepuuzwa kama vile ambavyo yeye aliwapuuza wenzake.

Ama hakika kuimba ni kupokezana,Unafiki,Njaa na Uchu wa madaraka wa Wilbroad Slaa na tamaa zake za fisi zimepelekea awe na mwisho wa fedheha katika siasa za Tanzania...
 
Huyo mwache apate staili yake alichofanya 2015 siwezi kamwe kumuamini aliniumiza sana kwa upande wangu
 
Back
Top Bottom