Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,294
- 1,288
Hapa Tanzania wasomi wengi hawajihusishi na siasa, Bali wanajaribu kusimamia taaluma zao japo kwa kuvurugwa na wanasiasa Kila kukicha.
Wanasiasa wengi Tanzania hasa viongozi ndani ya vyama vya siasa elimu zao ni za kuunga unga.
Japo nina amini uongozi ni kipawa anachozaliwa nacho mtu lkn kwa Tanzania hii ni tofauti hata wale wenye uwezo hupigwa vita na majungu na hii ni kwa sababu walio na mamlaka ni zao la wajinga wasio na uwezo hivyo kwa wenye uwezo huonekana tofauti na hatari kwa maslahi ya wajinga wenye mamlaka.
Wanaojihusisha na siasa kwanza wengi walifeli ktk taaluma na kuikimbilia siasa kama fursa isiyohitaji taaluma zaidi ya makelele majukwaani tu.
Tukiendelea na utamaduni huu kama taifa hakika hatutapata maendeleo tuyatarajiayo.
Rai yangu kwa wasomi wa Tanzania Sasa ni wakati wa kuingia huko huko kwenye siasa Ili tuwe viongozi na tuikomboe nchi yetu kutoka kwenye mikono ya Hawa wajinga wachache wasio na dira zaidi ya majungu, fitina, uchawi na wasingiziaji.