Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU? Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa...
37 Reactions
159 Replies
14K Views
Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais...
2 Reactions
87 Replies
3K Views
Rais Samia akiwa njiani kuelekea Dodoma alisimama katika Halmashauri ya Wilaya Chemba kusalimiana na wananchi na kusema "Ahadi yetu kwenu tutarudisha kuwatumikia wananchi na kuondoa changamoto...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki, ameagiza TAKUKURU kuchunguza matumizi ya shilingi milioni 470, zilizotolewa na serikali kujenga shule mpya ya Sekondari Mwanduitinje, iliyopo jimbo la kisesa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu anaendelea kututoa hofu watanzania katika suala zima la njaa alisema kuwa watanzania hatuna sababu yoyote ya kulia njaa. "Nataka niwahimize tulime kwa sababu miaka ijayo Dunia...
1 Reactions
16 Replies
792 Views
Wakuu niko Arusha, mara nyingi huwa naona kwenye TV tu ila awamu hii nimeshuhudia kwa kwa uhalisia kabisa bila chenga. Nimehesabu magari nikachoka nikaacha ila nikabaki kujiuliza maswali tu. 1...
44 Reactions
122 Replies
8K Views
Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi...
6 Reactions
113 Replies
4K Views
Wajumbe mia tano kutoka kanda, majimbo na mabaraza kuhudhuria mkutano mkuu pia wageni waalikwa kutoka nje walio vyama rafiki wa CHADEMA kuhudhuria kikao hicho. CHADEMA kulenga chaguzi za 2024...
4 Reactions
12 Replies
917 Views
Kama mnavyofahamu yapata miaka miwili sasa tangu apewe kiti cha uraisi kutokana na katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania alichokiridhi kutokwa kwa mwamba wa afrika na dunia kwa ujumla...
17 Reactions
93 Replies
7K Views
Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Mjumbe wa kamati Kuu ya CHADEMA John Heche amewashukuru wananchi wa Lindi na Mtwara kwa mapokezi makubwa waliyompa, ameahidi kurudi Kusini kwa ziara ya siku 10 hivi karibuni. Heche amesema...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Waswahili walishasema tangu awali , kwamba Pembe la ng'ombe halifichiki , Ukweli ni kwamba Nape Nnauye anapaswa kutafuta namna nyingine ya Kujikimu , Kujikimu kwake kwa sasa kunakotokana na Ubunge...
21 Reactions
93 Replies
4K Views
Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost. Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo...
16 Reactions
118 Replies
6K Views
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) wamekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kutokana na tabia yake ya kupinga mambo mbalimbali yanayofanywa na Serikali...
7 Reactions
135 Replies
7K Views
Wakati Wenje anapigania kwa Nguvu zote Uraia pacha kule bungeni tulihisi anatetea Wajaluo wenzake kule mpakani Kumbe mambo ni mengi kwamba hata Sugu ni " mnyamwezi" wa California Nchi ngumu sana...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Na Gregory Jumbe Mahanju, Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Dr Kigwangala amesema alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii alifanya mambo mengi mazuri lakini hawezi kuyasema kwa sababu yeye siyo mpenda kusifiwa. Ila kuna machache ambayo wengine wanaona...
0 Reactions
4 Replies
548 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano wa 10 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Kituo cha...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza Bawacha imefanywa mkutano mkubwa nchini Zanzibar uliojadili mustakabali wa Taifa Mgeni rasmi Naibu Katibu mkuu amesema Chadema inakubaliana na mapendekezo ya Kikosi kazi cha...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu. Juzi SERIKALI ya RAIS SAMIA kupitia Wizara ya Uchukuzi imepokea Baadhi ya Mabehewa kwa ajili ya Treni ya Umeme. Nilitarajia huyu Bwana angesifia sana Ujio wa hayo Mabehewa kwani...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…