Freeman Mbowe awapa wazee jukumu la kukipigania chama

Hata kikishinda 2025 bado CHADEMA kitabakia kuwa chama cha upinzani. Watajipinga wao wenyewe hata wakiwa madarakani. Nina uhakika CHADEMA ikishinda wataendeleza harakati za kuisakama CCM pamoja na kwamba kwa wakati huo hakina dola. Kwahiyo CHADEMA ni chama cha upinzani hata kikishika dola.
 


Wajumbe mia tano kutoka kanda, majimbo na mabaraza kuhudhuria mkutano mkuu pia wageni waalikwa kutoka nje walio vyama rafiki wa CHADEMA kuhudhuria kikao hicho.

CHADEMA kulenga chaguzi za 2024 na 2025 hakuna kupumzika
SAFI SANA MBOWE WEWE NI MTU WA MATUNDA NDIO MAANA CCM WANAKUPIGA MAWE ILA MUNGU NI MWEMA SIKU ZOTE
 
Back
Top Bottom