Kwa msafara huu wa Rais, bado tuna safari ndefu

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,111
2,377
Wakuu niko Arusha, mara nyingi huwa naona kwenye TV tu ila awamu hii nimeshuhudia kwa kwa uhalisia kabisa bila chenga.

Nimehesabu magari nikachoka nikaacha ila nikabaki kujiuliza maswali tu.

1. Gharama za huu msafara na afya kwa taifa. Kuna madhara gani magari yakapunguzwa?

2. Kama haiwezekani kwanini Rais asipunguze ziara fulani fulani kupunguza hizi gharama kwa taifa?

3. Kwa hali hii kuna uwezekano Rais akaenda kuzindua mradi wenye gharama ndogo kuliko gharama za ziara yake.

4. Viongozi wetu kuweni na moyo wa huruma kwa taifa nchi hii ni yetu sote na kuna maisha baada ya dunia.
 
Ww Umehesabu gari mpak ngapi? Naomba idadi
 
Kuna shida kubwa Sana ndani ya taifa letu
FB_IMG_1665472077577.jpg
 
Back
Top Bottom