Wakati CCM wanatengeneza safu ngumu ya uongozi, Wengine wanaendelea kufanya mikutano na Wanaharakati Twitter. 2025 watarudi kusema wameibiwa kura

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa zake kwa sasa bila shaka wana nia ya dhati kuendelea kushika dola na hili linathibitishwakwa na namna wanavyoendesha uchaguzi wao wa ndani unaoendelea, CCM wameamua kuweka urafiki, udugu na mazoea pembeni, wameamua kuweka/kupitisha Wagombea ambao watakivusha chama na uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuweza kuisimamia Serikali.

Kwa bahati mbaya wakati CCM wanaendelea na mipango hii ya kuhakikisha Wanaendelea kuwaelimisha Watanzania kuwa waendelee kukiamini chama hiki kwa namna kinavyoisimamia Serikali ili kuwaletea maendeleo yao, Vyama vingine mpaka sasa havina mpango wala muelekeo kuwa vinataka kweli kuwa chama dora, Vyama vimendelea kufanya kazi ya kila siku kukosoa mabehewa yaliyoletwa kupitia Twitter na mitandao mingine kama vile wapiga kura wako twitter, ikifika 2025 kwa sababu hawakujipanga vizuri ni watasusia uchaguzi au kusema wameibiwa kura.

Yaani mtu unaishi ughaibuni halafu ujenge chama kitakachoaminiwa na Watanzania ? Kaka yangu Lema, Tanzania kwa sasa ni salama na ina Demokrasia ya hali ya juu kuliko muda wowote, njoo umsaidie Mbowe kujenga chama ili msije lalamika baadaye mmeibiwa kura kumbe Watanzania wameamua kuiamini CCM.

Hongereni saana CCM kwa kuendelea kuisimamia Serikali ili kuwaletea Wanachi maendeleo, utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaonekana, sisi Watu wa kanda ya Kaskazini tunashukuru sana tumeanza kurudi kwetu kwa sikuku tunapita kwenye daraja jipya la WAMI. Hongera Serikali ya Awamu ya sita tumeona mabehewa kwaajili ya SGR yameshafika, kama kawaida wale wakubeza wameanza, lakini hata kipindi kile Ndege zinanunuliwa walibeza na kupinga lakini wamekuwa wa kwanza kuzitumia.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
 
Mnawakataza wasifanye siasa, mnawazuia mikutano ya nje hadi ya ndani alafu unakuja na uzi uharo kama huu, watu wengine ilitakiwa either muishie kwenye puli au ndom

Na hiyo safu unayoisema inatengenezwa na CCM ndo hii tunayoona rushwa inatembea kwenye mitandao? Hadi tuvijana tudogo kabisa twa uvccm tunajikita kwenye rushwa bila hata haya, na bado mtu unakuja bila haya unasifu
 
Juzi walikuwa Tarime wanafanya nini huko? na wengine walikuwa kusini huko au ni mikutano ipi ya ndani iliyozuiliwa Kambaku ?
 
We boya leteni umeme , maji na hatutaki tozo za ajabu ajabu, halafu mwendelee kuiba acheni kuingilia katika mifumo ya maisha yetu
Huoni juhudi za Serikali kitonsa NYHPP inaelekea kukamilika, sio muda mrefu tutakuwa na excess ya umeme, pia kwa wakati wako endelea kuhamasisha watu wa pande miti ya kutosha
 
Kenge wewe.....mushukuru sana kwakuwa mtaji wenu mkubwa ni kwakuwa na wengi wajinga nchini( high illiteracy level)
Hahaha kwahiyo hawa wajinga wa nchini hawaoni vyama vingine? wanaona CCM tu? acha kujidanganya hakuna Mtanzania mjinga kushindwa kujua ni kipi anatakiwa kuchagua mirror01
 
Huoni juhudi za Serikali kitonsa NYHPP inaelekea kukamilika, sio muda mrefu tutakuwa na excess ya umeme, pia kwa wakati wako endelea kuhamasisha watu wa pande miti ya kutosha
Blah blah tu tangu enzi za kikwete

Ccm Ni kikundi Cha wahuni, hakuna chama hapo Kuna cartel na yenye nguvu ya dola,
Hata wewe unataka kuingia kwenye hiyo cartel, kwa njaa zako
 
Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa zake kwa sasa bila shaka wana nia ya dhati kuendelea kushika dola na hili linathibitishwakwa na namna wanavyoendesha uchaguzi wao wa ndani unaoendelea, CCM wameamua kuweka urafiki, udugu na mazoea pembeni, wameamua kuweka/kupitisha Wagombea ambao watakivusha chama na uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuweza kuisimamia Serikali.

Kwa bahati mbaya wakati CCM wanaendelea na mipango hii ya kuhakikisha Wanaendelea kuwaelimisha Watanzania kuwa waendelee kukiamini chama hiki kwa namna kinavyoisimamia Serikali ili kuwaletea maendeleo yao, Vyama vingine mpaka sasa havina mpango wala muelekeo kuwa vinataka kweli kuwa chama dora, Vyama vimendelea kufanya kazi ya kila siku kukosoa mabehewa yaliyoletwa kupitia Twitter na mitandao mingine kama vile wapiga kura wako twitter, ikifika 2025 kwa sababu hawakujipanga vizuri ni watasusia uchaguzi au kusema wameibiwa kura.

Yaani mtu unaishi ughaibuni halafu ujenge chama kitakachoaminiwa na Watanzania ? Kaka yangu Lema, Tanzania kwa sasa ni salama na ina Demokrasia ya hali ya juu kuliko muda wowote, njoo umsaidie Mbowe kujenga chama ili msije lalamika baadaye mmeibiwa kura kumbe Watanzania wameamua kuiamini CCM.

Hongereni saana CCM kwa kuendelea kuisimamia Serikali ili kuwaletea Wanachi maendeleo, utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaonekana, sisi Watu wa kanda ya Kaskazini tunashukuru sana tumeanza kurudi kwetu kwa sikuku tunapita kwenye daraja jipya la WAMI. Hongera Serikali ya Awamu ya sita tumeona mabehewa kwaajili ya SGR yameshafika, kama kawaida wale wakubeza wameanza, lakini hata kipindi kile Ndege zinanunuliwa walibeza na kupinga lakini wamekuwa wa kwanza kuzitumia.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Tatizo mnaogopa uchaguzi huru, mngeona kama safu imara au la
 
Blah blah tu tangu enzi za kikwete

Ccm Ni kikundi Cha wahuni, hakuna chama hapo Kuna cartel na yenye nguvu ya dola,
Hata wewe unataka kuingia kwenye hiyo cartel, kwa njaa zako
Mkuu kitonsa sasa hasira zinatoka wapi tena? blah blah zinatoka wapi? Mkuu hebu tuwe wakweli, pamoja na changamoto zote Serikali ya CCM hasa ya awamu ya sita imejitahidi sana katika kuwaletea Watanzania maendeleo.
 
Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa zake kwa sasa bila shaka wana nia ya dhati kuendelea kushika dola na hili linathibitishwakwa na namna wanavyoendesha uchaguzi wao wa ndani unaoendelea, CCM wameamua kuweka urafiki, udugu na mazoea pembeni, wameamua kuweka/kupitisha Wagombea ambao watakivusha chama na uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuweza kuisimamia Serikali.

Kwa bahati mbaya wakati CCM wanaendelea na mipango hii ya kuhakikisha Wanaendelea kuwaelimisha Watanzania kuwa waendelee kukiamini chama hiki kwa namna kinavyoisimamia Serikali ili kuwaletea maendeleo yao, Vyama vingine mpaka sasa havina mpango wala muelekeo kuwa vinataka kweli kuwa chama dora, Vyama vimendelea kufanya kazi ya kila siku kukosoa mabehewa yaliyoletwa kupitia Twitter na mitandao mingine kama vile wapiga kura wako twitter, ikifika 2025 kwa sababu hawakujipanga vizuri ni watasusia uchaguzi au kusema wameibiwa kura.

Yaani mtu unaishi ughaibuni halafu ujenge chama kitakachoaminiwa na Watanzania ? Kaka yangu Lema, Tanzania kwa sasa ni salama na ina Demokrasia ya hali ya juu kuliko muda wowote, njoo umsaidie Mbowe kujenga chama ili msije lalamika baadaye mmeibiwa kura kumbe Watanzania wameamua kuiamini CCM.

Hongereni saana CCM kwa kuendelea kuisimamia Serikali ili kuwaletea Wanachi maendeleo, utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaonekana, sisi Watu wa kanda ya Kaskazini tunashukuru sana tumeanza kurudi kwetu kwa sikuku tunapita kwenye daraja jipya la WAMI. Hongera Serikali ya Awamu ya sita tumeona mabehewa kwaajili ya SGR yameshafika, kama kawaida wale wakubeza wameanza, lakini hata kipindi kile Ndege zinanunuliwa walibeza na kupinga lakini wamekuwa wa kwanza kuzitumia.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Tunawaona wanavyorudisha genge la wapigaji kwenye mfumo, haina shida tuataonana 2025, kila mtu ashinde mechi zake.
 
CCM haitegemei SAFU ya Uongozi Bali inategemea KUIBA KURA tu. USHINDI wa CCM sio wa VIONGOZI wala ILANI ni KUIBA KURA TU ndio maana hawataki KATIBA MPYA. TUME HURU ya UCHAGUZI
Wakurugenzi kutokuwa Wasimamizi Wa Chaguzi n.k
 
Ambao walivuruga mchakato wa katiba mpya ni ccm au ukawa?

Ukawa ulivurugwa na ccm au walio mpokea laigwqnani? (Wenye walikula mafweza wana elewa)
 
Back
Top Bottom