Habari
Hapo juu ni kwamba ili kuepusha misuguano NA kuimarisha umoja WA TAIFA hasa ngazi ya mitaa NA vijiji ambako ndiko tuliko wananchi kiongozi asitokane NA chama Bali watu wafaao NA...
Mh Majaliwa Waziri mkuu wa sasa ameonesha uwezo mkubwa katika kushughulikia mambo mbalimbali
Napendekeza turejee mfumo wa Kikwete ambapo Tamisemi Ilikuwa Ofisi ya Waziri mkuu
Issue ya Kariakoo...
MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka...
Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh Bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa Harambee ya Kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa...
Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo?
Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua...
Great thinkers,
Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
Jana mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Martin Francis Massawe aka Martin Mbwana alisema kinachoendelea mgomo Kariakoo ni mambo ya Siasa.
Mimi nikadhani labda ni Ule Uchochezi unaofanywa na...
".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu amesema Tanzania ni nchi ya shida kila mahali.
Lissu amesema "Ukiwa CHADEMA ni shida, ukiwa CCM ni shida hata ukiwa Askari polisi ni shida. Askari...
Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi...
Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006.
Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit)...
Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesifu uamuzi aliouchukua mkulima Thomas Nkola, kuamua kufungua kesi mahakamani kushinikiza waliotajwa kuhusika na...
MBUNGE JANETH MAHAWANGA AITAKA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Tisha Mama Foundation Mhe. Janeth...
Kwa Nini mkuu wa wilaya ya Urambo yupo kazini mpaka leo? Waziri wa Afya watu wako wanaua watoto.wetu mpaka leo unachunguza?
Mkuu wa wilaya Alie ungana na wauaji anafanya Nini ofisini?hii ndio...
Jana ilikuwa siku ngumu kwa waziri wa Fedha Mhe Dr mwigulu nchemba kila mfanyabiashara wa Maduka kariakoo au kutoka mikoa mbalimbali tuhuma zilielekezwa kwa Dr mwigulu.
Waziri mkuu alisimama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba...