kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 118
- 237
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo alishiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani Lindi. Mapokezi ya Rais Samia mkoani Lindi yalihudhuriwa na wananchi mbalimbali wakiwemo wananchama wa vyama vya Upinzani kama CHADEMA na ACT.
Wanachana hao walisikia wakisema siasa si uadui, Kuhudhuria mapokezi hayo ni kwasababu wameiona kazi inayofanywa na serikali ya awamu ya sita ambayo Rais Samia ndiye anayeiongoza.
Wanachana hao walisikia wakisema siasa si uadui, Kuhudhuria mapokezi hayo ni kwasababu wameiona kazi inayofanywa na serikali ya awamu ya sita ambayo Rais Samia ndiye anayeiongoza.